Championship
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,500
- 10,616
Ngojea tusubiri, muda utatupatia majibu.Lolote linawezekana kwenye mpira. Hao madogo wanakuja vizuri lakini sioni kama wapo kwenye mazingira rafiki kubeba ballon d'or kama waliyopo halaand na mbappe.
Mkuu umeandika ukweli wa hali ya juu. Wewe utakuwa unawaangalia kwa karibu sana. Vijana wakiwa na mpira ukuta wa timu pinzani unakuwa kwenye presha kubwa sana.Martineli na Saka wameanza tabia ya kufanya mabeki wote waonekane akina maguire
kama beki wako ni wazuri ngoja wakutane na hawa vijana
Martineli akishika mpira anafanya mabeki wawili na dm wasiwe na utulivu kabisa kasi yake na pasi zake
halafu mabeki walivyo wajinga wanamuacha apite
Saka akishika mpira anakuwa kama ana damu baridi yupo calm sana anamfuata beki hamuogopi hata wawe wawili ila huyu anatabia ya kuchukua attention ya wachezaji hadi watano akiwa na mpira na ni hatari 1v1
Arsenal tupewe ubingwa tu
kuhusu ballon d'or ipo kisiasa na kibiashara sana
Pata nafasi uwatazame vijana hawa wakiwa uwanjani utagundua sio suala la hisia au ushabiki.Hapa umetanguliza hisia za kishabiki kwa wachezaji wa timu yako.
Arsenal has class kilichokosekana ni form tuBado sana hoa vijana
Na the gunners kuchukua ubingwa bado mkuu
Form ni temporary ila class ni permanent
Class ya gunners bado ila form ipo vema
Tena hiyo ya nedved ilikuwa siasa kuliko unavyofikiri huo mwaka ulikuwa mwaka wa thiery henrySidhani maana wachezaji wa kawaida sana wamewahi kuibeba kama nedved wa juve na canavaro
Umenikumbusha mbali kumtaja Pavel NedvedSidhani maana wachezaji wa kawaida sana wamewahi kuibeba kama nedved wa juve na canavaro
Mpira unadunda na vijana wanauweza.Labda Ballon D'or ya Kamnyweso
Watu walioibeba bila ucl ni Messi, Christiano na Pavel NedvedIle tuzo ni kama ina uhusiano wa karibu sana na mtu aliyebeba ucl. Mara chache sana mtu asiyekuwa na ucl alibeba hiyo tuzo. Henry angebeba 2006 kama arsenal ingechukua ucl.
Talent wanayoHivi class huwa inakujaje? Unamaanisha hao madogo hawana talent?
Mkuu angalia mpira acha mahaba na teamArsenal has class kilichokosekana ni form tu
ambayo msimu wapo nayo
mbali na form they have fighting spirit
usikute unayesema arsenal bado unaota timu yako iwe kwenye nafasi aliyopo arsenal muda huu
Namuongelea saka na martineli kama individualMkuu angalia mpira acha mahaba na team
Hao vijana still wana mengi kuprove
Arsenal bado wimbi hili la matokeo lisikupe kibri
Depth ya scuad ipo meintanable au injuries hujui zipo + fatique na drop off ya form per player