Namuongelea saka na martineli kama individualMkuu angalia mpira acha mahaba na team
Hao vijana still wana mengi kuprove
Arsenal bado wimbi hili la matokeo lisikupe kibri
Depth ya scuad ipo meintanable au injuries hujui zipo + fatique na drop off ya form per player
Tena hiyo ya nedved ilikuwa siasa kuliko unavyofikiri huo mwaka ulikuwa mwaka wa thiery henry
hebu fuatilia huo mwaka henry alipiga magogoli 20+ na assist 20+ na hakupata
hahahaha goal na assist za nedved msimu huo hazikufika hata 25Nedved alikuwa vizuri msimu huo.
Naomba bangi izuiliwe Kwa sababu martinel na saka hata first eleven kwenye team zao za taifa ni ngumu.Haya matumizi mabaya ya bangiKiwango cha soka kinachooneshwa na vijana hawa wawili, Saka na Martinelli kinavutia na kudhihirisha kwamba wako makini na kazi yao.
Kwa miaka mitatu iliyopita tumeona vijana hawa wakipikwa na kuwa mawinga hatari sana katika Klabu ya Arsenal. Kiwango chao cha kujituma na nidhamu kinaonesha hatma nzuri inakuja.
Chini ya Mikel Arteta, ninaiona Arsenal ikibeba EPL, Europa, FA, UCL, Club world, Super Cup n.k katika misimu kadhaa ijayo. Katika muktadha huo, bila mashaka yoyote vijana hawa wawili watapokezana hiyo tuzo.
Kila la heri kwao.
Wewe weka ukweli kombe la dunia linakuja utawaona hao kama watakuwa first eleven ya team zao za taifaHapa umeweka uongo waziwazi.
Kaa utulie kijana kabla hujaumia kwa wivu.Naomba bangi izuiliwe Kwa sababu martinel na saka hata first eleven kwenye team zao za taifa ni ngumu.Haya matumizi mabaya ya bangi
Bora umemwambia ukweli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]SAKA ANATAFUTA MKATABA MPYA KAMA HUJUI ,BAADA YA KuSAINI SuBILI UTAONA SAKA HALISI [emoji23][emoji23]
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Naomba bangi izuiliwe Kwa sababu martinel na saka hata first eleven kwenye team zao za taifa ni ngumu.Haya matumizi mabaya ya bangi
Cheki ulivyo mjingaNaomba bangi izuiliwe Kwa sababu martinel na saka hata first eleven kwenye team zao za taifa ni ngumu.Haya matumizi mabaya ya bangi
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Timu yenyewe asenali[emoji38]
Kwani akili zinaweza kuwa zimeondoka au sio?[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Uwe unatikisa kichwa chako kucheck akili kama bado ipo ndio uje uongee huo upuuzi.
Mimi niipongeze tu Management ya Arsenal, wamekuwa wavumilivu sana na kumpa Arteta muda kuijenga team. Mafanikio hayaji haraka, yanahitaji maandalizi.Kiwango cha soka kinachooneshwa na vijana hawa wawili, Saka na Martinelli kinavutia na kudhihirisha kwamba wako makini na kazi yao.
Kwa miaka mitatu iliyopita tumeona vijana hawa wakipikwa na kuwa mawinga hatari sana katika Klabu ya Arsenal. Kiwango chao cha kujituma na nidhamu kinaonesha hatma nzuri inakuja.
Chini ya Mikel Arteta, ninaiona Arsenal ikibeba EPL, Europa, FA, UCL, Club world, Super Cup n.k katika misimu kadhaa ijayo. Katika muktadha huo, bila mashaka yoyote vijana hawa wawili watapokezana hiyo tuzo.
Kila la heri kwao.