Mr the dragon JF-Expert Member Joined Apr 14, 2017 Posts 1,937 Reaction score 3,718 Oct 23, 2022 #41 Martinelli na Saka hawa vijana wanajua mpaka wanakera shida ni kwamba wanacheza Arsenal. Ningekuwa kocha wa timu ya taifa ya Brazil ningemuanzisha Martinelli over Vinicius Jr. Vini jina la Madrid linambeba ila Martinelli anajua sana
Martinelli na Saka hawa vijana wanajua mpaka wanakera shida ni kwamba wanacheza Arsenal. Ningekuwa kocha wa timu ya taifa ya Brazil ningemuanzisha Martinelli over Vinicius Jr. Vini jina la Madrid linambeba ila Martinelli anajua sana
Championship JF-Expert Member Joined Aug 7, 2019 Posts 5,500 Reaction score 10,616 Oct 23, 2022 Thread starter #42 Spartacus boy said: Uwe unatikisa kichwa chako kucheck akili kama bado ipo ndio uje uongee huo upuuzi. Click to expand... Tulia dogo kabla hujasababisha mdomo ukiponze kichwa.
Spartacus boy said: Uwe unatikisa kichwa chako kucheck akili kama bado ipo ndio uje uongee huo upuuzi. Click to expand... Tulia dogo kabla hujasababisha mdomo ukiponze kichwa.
Championship JF-Expert Member Joined Aug 7, 2019 Posts 5,500 Reaction score 10,616 Oct 23, 2022 Thread starter #43 0ozg Tz said: Sijawah ona timu ina wavulana watupu ikachukua ubingwa,kulikuwa kunatakiwa kule mbele na kwa mabeki wawepo wanaume kama watatu Click to expand... Wanaume wapo kibao pale, Gabriel Jesus, Granit Xhaka na Thomas Partey japo nakubaliana nawe inataka watu wanaoweza kupambana msimu mzima kuweza kubeba kombe.
0ozg Tz said: Sijawah ona timu ina wavulana watupu ikachukua ubingwa,kulikuwa kunatakiwa kule mbele na kwa mabeki wawepo wanaume kama watatu Click to expand... Wanaume wapo kibao pale, Gabriel Jesus, Granit Xhaka na Thomas Partey japo nakubaliana nawe inataka watu wanaoweza kupambana msimu mzima kuweza kubeba kombe.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Nov 6, 2022 #44 Ngoja tuone...
D dos.2020 JF-Expert Member Joined Feb 17, 2009 Posts 11,880 Reaction score 10,372 Nov 13, 2022 #45 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Championship JF-Expert Member Joined Aug 7, 2019 Posts 5,500 Reaction score 10,616 Jan 15, 2023 Thread starter #46 Wonder kid, Bukayo Saka.🔥🔥