Baada ya kutoka Mwanza kujua maisha yake yapoje leo nipo Bukoba.
Kuna watu wanapotosha sehemu za mikoa kuwa zipo hivi.
Kwanza natanguliza shukrani kwa marehemu JPM japo wanasema binadamu hata tufanyiwe nini shukrani ziro.
Marehemu JPM kaweza sana kuboresha miji iliyopo mikoani asilimia kubwa.
Niliyokuta Bukoba
Yale mambo ya migomba yanaelekea kupotea kwenye makazi ya watu.
Barabara za mjini zimeongezeka na zengine kiwango cha lami.
Nilicho kuta msikiti mkubwa ambao mpaka sasa nimewapa big up Bukoba.
Watu wameelimika kujenga kwao sasa
View attachment 1938691
View attachment 1938692
View attachment 1938693
View attachment 1938694
View attachment 1938695
View attachment 1938696
View attachment 1938698
View attachment 1938699
Nilichogundua mkoa wa Kagera uislamu unakuwa kwa kasi sana maana miaka ya nyuma ulikuwa sehemu chache.
nitaendea…
View attachment 1938697