Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 28,259
- 41,416
Mleta uzi utakuwa Muislamu.
Nduguye Hangaya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mleta uzi utakuwa Muislamu.
mkristo pure.sisi ni watanzania,imani,dini na ukabila zitufanye kuwa matabaka.
Tatizo mnakuja na mentality ya kukuta bukoba inafanana na Dar wakati ni mji wa kawaida tu unaojitosheleza.Ila mji wa Bukoba uko hovyo sana, sikutemea kuona mji kuwa vile kwani nilidhani ni bonge la jiji kumbe wanapitwa hata na Kigoma Ujiji.
Ugonjwa wa Ukimwi wa ndizi au mnyauko ndio chanzo cha hali hiiBaada ya kutoka Mwanza kujua maisha yake yapoje leo nipo Bukoba.
Kuna watu wanapotosha sehemu za mikoa kuwa zipo hivi.
Kwanza natanguliza shukrani kwa marehemu JPM japo wanasema binadamu hata tufanyiwe nini shukrani ziro.
Marehemu JPM kaweza sana kuboresha miji iliyopo mikoani asilimia kubwa.
Niliyokuta Bukoba
Yale mambo ya migomba yanaelekea kupotea kwenye makazi ya watu.
Barabara za mjini zimeongezeka na zengine kiwango cha lami.
Nilicho kuta msikiti mkubwa ambao mpaka sasa nimewapa big up Bukoba.
Watu wameelimika kujenga kwao sasa
View attachment 1938691
View attachment 1938692
View attachment 1938693
View attachment 1938694
View attachment 1938695
View attachment 1938696
View attachment 1938698
View attachment 1938699
Nilichogundua mkoa wa Kagera uislamu unakuwa kwa kasi sana maana miaka ya nyuma ulikuwa sehemu chache.
nitaendea…
View attachment 1938697
Ugonjwa wa Ukimwi wa ndizi au mnyauko ndio chanzo cha hali hii
Ila Bukoba pazuri jamani na wale jamaa wana maendeleoBaada ya kutoka Mwanza kujua maisha yake yapoje leo nipo Bukoba.