Bukoba mambo ya migomba yanaelekea kupotea kwenye makazi ya watu

Hio Migomba ata sio shida wacha ipotee tu , muhim katerero iwepo tu basi
 
Fia haziliwi kama ebitoke
 
Mtani wangu,
Mimi Sema: Ng’ombe
Wewe: Ngombe
Mimi Sema: Ng’ombe, ng’o....ng’o....ng’ombe
Wewe: Ngombe...ngo...ngo...ngombe!

Mimi: I give up!
 
Uzuri umetoa sifa nzuri la sivyo hilo neno 'mkoa wa Bukoba' lingekutokea puani. Hiyo Petrol station iko wilaya ya Bukoba.
Baadae unaelekea wapi?
 
Hiyo nyumba ya kwanza kama sikosei iko kijiji cha Bukabuye kwao kina Prof. Ishengoma alikuwa SUA na muda fulani alikuwa mkuu wa Idara ya misitu nchini, ndugu yake simtaji ila yuko vizuri pia.
Hiyo ya pili ni ya jamaa fulani simtaji alikuwa TANESCO pale Arusha ila sijui yuko wapi sahivi.

Wewe jamaa sometimes huwa nabishana nawe humu na hapo juzi kati nikaona picha zako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…