Bukoba mambo ya migomba yanaelekea kupotea kwenye makazi ya watu

 

Attachments

  • IMG_0585.jpg
    277.2 KB · Views: 2







 

Attachments

  • IMG_0596.jpg
    306.6 KB · Views: 1
Ila mji wa Bukoba uko hovyo sana, sikutemea kuona mji kuwa vile kwani nilidhani ni bonge la jiji kumbe wanapitwa hata na Kigoma Ujiji.
Tatizo mnakuja na mentality ya kukuta bukoba inafanana na Dar wakati ni mji wa kawaida tu unaojitosheleza.


Ila kwa Tanzania hakuna mkoa wenye makazi Bora vijijini Kama kagera
 
Ugonjwa wa Ukimwi wa ndizi au mnyauko ndio chanzo cha hali hii
 
Ugonjwa wa Ukimwi wa ndizi au mnyauko ndio chanzo cha hali hii

[emoji3] ukimwi ulianzia uganda kwa kuwa uganda ilianza maendeleo mapema kuja kwa mataifa mengi na biashara.
tanzania kipindi cha nyerere tulifanywa wajinga na mpaka leo ni wajinga kwa ccm.

mila za misiba ndio zilisababisha maambukizi ya familia kuchangia nyembe kunyoa kipindi misiba.
 
Ila Bukoba pazuri jamani na wale jamaa wana maendeleo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…