Rutunga M
JF-Expert Member
- Mar 16, 2009
- 1,769
- 1,390
Wana bodi. Nimesikitishwa na kitendo cha huyu dada muelimishaji rika mkazi wa Izimbya kucharangwa mapanga na kibaya zaidi kukatwa mguu na kuondolewa kabisa na mtu anayedaiwa ni hawala yake wala si mume. Sitaki kusema kinachoendelea kuhusu hii kesi lakini naweka namba ya huyu dada (ILI ASAIDIWE ZAIDI).
Huyu dada anaitwa happy no yake ni 0767836794