Bukoba: Mwanamke akatwa mguu na hawara yake(picha zinasikitisha)

Sema Duniani kuna watu wana Roho za ajabu hata sijui nizifananishe na nini,Sasa sijui ule Mguu kaukata kwa Panga au Msumeno?
 
View attachment 1942050View attachment 1942051View attachment 1942052View attachment 1942053
Wana bodi. Nimesikitishwa na kitendo cha huyu dada muelimishaji rika mkazi wa Izimbya kucharangwa mapanga na kibaya zaidi kukatwa mguu na kuondolewa kabisa na mtu anayedaiwa ni hawala yake wala si mume. Sitaki kusema kinachoendelea kuhusu hii kesi lakini naweka namba ya huyu dada (ILI ASAIDIWE ZAIDI).

Huyu dada anaitwa happy no yake ni 0767836794
Huyo Hawara yake popote alipo mkimkamata uume wake ukatwe ili Nyegezi zimtoke.

Kisha ashindiliwe kitu cha tango kwenye nnya yake
 
View attachment 1942050View attachment 1942051View attachment 1942052View attachment 1942053
Wana bodi. Nimesikitishwa na kitendo cha huyu dada muelimishaji rika mkazi wa Izimbya kucharangwa mapanga na kibaya zaidi kukatwa mguu na kuondolewa kabisa na mtu anayedaiwa ni hawala yake wala si mume. Sitaki kusema kinachoendelea kuhusu hii kesi lakini naweka namba ya huyu dada (ILI ASAIDIWE ZAIDI).

Huyu dada anaitwa happy no yake ni 0767836794
Huyo mtuhumiwa hakutakiwa kua hai,wananchi walitakiwa wamalizane nae awe mzoga,unamchoronga mtu kama nyama
 
Ila binadamu wanaroho mbaya wanataka kumleta kuzimu wakati mda wake bado.
Inasikitisha sana
 
Source mpaka kukatwa ni Nini usikute akajengewa na hawara afu bado anaileta vijeba ndani.
Duu bukoba jamani kweli wasomi wazima kabisa.
Sasa ambao hatukusoma tutajifunzia wapi
 
mbona km matukio ya kikatili yameshamiri sana miezi hii?!! Ningelikuwa na mamlaka kwanza ningeamrisha huyo jamaa ahasiwe kabla ya mambo mengine kwanza
 
Wangehojiwa wote,tujue tatizo lilikua nini,maana hawara hawezi akashika panga tu,akaanza kumcharanga mdada wa watu.Pole sana dada,ila ingejulikana chanzo kikuu,watu tungeifunza kitu.
Mimi nawaoneaga huruma sana wale unakuta eti anakula hela ya mtu halafu anakiuka makubaliano,au mwingine anapangiwa chumba au nyumba kabisa,na biashara anafunguliwa,halafu anaenda kinyume na makubaliano.Mbaya zaidi hadi aje afumaniwe,eti ndo asemewe na wananzengo kua BORA ANGEACHWA TU,WANAWAKE ni wengi,hao wananzengo hawaangalii muda na pesa ambazo mtu kawekeza na kafanywa mjinga kwa kiasi gani.
Pole yake dada.
 
...Mkuu ulileta stori hii, umeweza kutuletea hata picha za tukio lakini member wanakazana huku kukuambia angalau eleza japo kidogo tu tukio lilivyokuwa, husemi kitu umekazana tu watu wampigie simu mhusika!
Kwa ulijua kuwa picha ndio zitamaliza kila kitu?
Sawa, tumesisimshwa na picha za tukio. Sasa tupe maelezo japo kidogo tu kulitokea mini?
 
View attachment 1942050View attachment 1942051View attachment 1942052View attachment 1942053
Wana bodi. Nimesikitishwa na kitendo cha huyu dada muelimishaji rika mkazi wa Izimbya kucharangwa mapanga na kibaya zaidi kukatwa mguu na kuondolewa kabisa na mtu anayedaiwa ni hawala yake wala si mume. Sitaki kusema kinachoendelea kuhusu hii kesi lakini naweka namba ya huyu dada (ILI ASAIDIWE ZAIDI).

Huyu dada anaitwa happy no yake ni 0767836794
Roho mbaya hii ukatili was kinyama
 
Ingekua huu ukatili kafanyiwa na mume wake ingesikitisha sana...

Ila hawara...
Mambo yake muachieni mwenyewe...
 
...Mkuu ulileta stori hii, umeweza kutuletea hata picha za tukio lakini member wanakazana huku kukuambia angalau eleza japo kidogo tu tukio lilivyokuwa, husemi kitu umekazana tu watu wampigie simu mhusika!
Kwa ulijua kuwa picha ndio zitamaliza kila kitu?
Sawa, tumesisimshwa na picha za tukio. Sasa tupe maelezo japo kidogo tu kulitokea mini?

Asante kwa mchango wako.
 
Back
Top Bottom