Afu huyu hata sio faza house manina.Alomfanyia huo ukatili yupo wapi?
Ila wanawake mwanaume akikupiga hata kofi achana nae ndio matokeo haya
Hata angekuwa faza house mtu yeyote hatakiwi kumdhuru mwenzie na kumsababishia ulemavuAfu huyu hata sio faza house manina.
Very true.Hata angekuwa faza house mtu yeyote hatakiwi kumdhuru mwenzie na kumsababishia ulemavu
Wanaudhi sana ukatili huu bado unaendelea serikali inawachekea tu
Yaan 😭😭Very true.
Point yangu ni kwamba angesingizia ni mume wake.
Huyu boya atasemaje.
Siwezi kumdhuru mtu niliyempenda hata nikimfumania.....never.....Hata angekuwa faza house mtu yeyote hatakiwi kumdhuru mwenzie na kumsababishia ulemavu
Wanaudhi sana ukatili huu bado unaendelea serikali inawachekea tu