Bukoba: Ndege ya Precision Air yapata ajali Ziwa Victoria, watu 19 wafariki dunia

Rubani amejitahidi saaana Mungu asante
 
Alisema Ndege itakayoanguka 'itakatika Vipande Viwili' na Ina Logo nyekundu!
Yote hayo hayajatokea Kwa Precision!
Msimpe TU Sifa za Kijinga!!
Wewe utakua Nabii wa mchongo ndo maana unakazia andiko lako ili Hali mwezio alisema ,ajali ni ajali ila si imehusisha ndege ambayo alisema Sasa shida yako nini?
 
Mmeanza kumkumbuka????

NA BADO, Mtaita maji mmaaaa...
 
Sio Kila ndege inapoanguka huwa ni ubovu wa ndege, Hali ya hewa pia inaweza sababisha, turbulence au makosa ya rubani pia, nadhani tusubiri taarifa kamili kutoka Kwa wahusika

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Vitu vya kijinga sana....wanachoweza ni kununua magari mapya...ukisema wananuna..
Ulimwengu alishasema ogopa kundi la wajinga.
Alaf ajari imetokea hapo hapo uwanjani , ina mana Kwa nature ya uwanja ulipo karbu na ziwa vitu kama hvyo ni vya kutegemewa , inakosaje facilities kama hzo , duniani kote 80% ya ajari za ndege hutokea inapotaka kuruka au inapotaka kutua,
 
Ile haikua kafara kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…