Bukoba: Ndege ya Precision Air yapata ajali Ziwa Victoria, watu 19 wafariki dunia

Bukoba: Ndege ya Precision Air yapata ajali Ziwa Victoria, watu 19 wafariki dunia

Poleni Sana abiria na wote mlioko kwenye eneo la tukio Kwa kazi ya uokoaji.
 
Kuna uzi mtu alitabiri kama wiki mbili zilizopita kwamba kuna ndege itaanguka TZ na akaishia kula matusi. Huu hapa

Nae kabet tu...ina logo nyekundu? Imekatika vipande???[emoji2781]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kila aina ya usafiri ni hatari katika 3rd world countries ila Ndege ndio usafiri salama zaidi kulinganisha na usafiri mwingine wowote.
Aanh

Ni hatari sana kupanda usafiri wa meli na ndege kwa hizi nchi zinazoitwa 3rd countries

Mika 5 nyuma nakumbuka natoka dar naenda mbeya na hizi ndege za mtumba alizotuletea anko magu
Maeneo ya iringa pale kitonga, ndege linayumba kwa sababu ya kani ya mvutano

Nilisali salamu maria mara 1, baba yetu mara 2
Na nikapiga Alu akbar kama 5 hivi
 
Hapo unatamani ungesikiliza yale maelezo ya usalama (safety instructions) yanayotolewa na cabin crews ambayo huwa watu wanapuuza kusikiliza.

Unaweza hata usilione boya ukamyang'anya mwenzako [emoji1787]
Mungu aingilie kati wanusurike jamani
 
...Alisema Ndege itakayoanguka 'itakatika Vipande Viwili' na Ina Logo nyekundu! Yote hayo hayajatokea Kwa Precision!
Msimpe TU Sifa za Kijinga!!
Naenda kupaka doa jekundu pale basi mfurahi...
Unabeza kama wewe una weza mtu ameweza kutabiri
Uwepo wa ajali
Ajali ya ndege
Bado unahoji hoji unataka aseme vyote ili asaidie mamlaka kufanya uchunguzi?
 
Tweeter huwezi kutoka salama.
Screenshot_20221106-104243.jpg
 
Alisema Ndege itakayoanguka 'itakatika Vipande Viwili' na Ina Logo nyekundu!
Yote hayo hayajatokea Kwa Precision!
Msimpe TU Sifa za Kijinga!!
Mkuu una umri Gani? Unajua maana ya utabiri...Kuna jambo lolote la utabiri linatokea 💯%? Hata utabiri wa kwenye biblia umejaa mafumbo na huwezi ukatokea kwa mfanano uleule wa mtabiri.
 
Mungu awanusuru wote waliokuwemo humo kwenye ndege
 
Na utabiri hauwezi kuwa 100% perfect.. Kwakuwa ni utabiri
Kwa mtu mwenye experience na spiritual vision, hiyo kitu ipo sahihi. Kabla ya kuona taarifa hayo maono, nafsi yake ilikuwa na taarifa hasi za ndege ziangukapo na cha kuelewa roho hupokea taarifa then nafsi ina fasiri , sasa kama nafsi in wrong info easy ku add kitu na hata kikaharibu maana kamili. Jamaa aliluwa sahihi 100%, ila nafsi yake haina utulizu na right information juu ya ndege.. ndio maana ili kimbilia kufarisi kama kumegeka kwasababu ndio taarifa aliyo nayo awali ila naamini sio taarifa iliyo rohoni mwake, kuhusu rangi ni purity ya nafsi imechangia that why ukitoka kuzini alafu upate maono hutopata rangi sahihi hata siku moja nyeusi unaweza ona ni blue
 
Hapo ni sehemu salama na wataokolewa tu.lakini kama waliopanda in mafisadi basi wapambane na hali zao.
 
...Alisema Ndege itakayoanguka 'itakatika Vipande Viwili' na Ina Logo nyekundu! Yote hayo hayajatokea Kwa Precision!
Msimpe TU Sifa za Kijinga!!
Ila ajali imetokea Sasa Mara nyingi utabiri syo kwamb tukio litatokea directly ikafanana na maono aliyo yaona ,mm binafsi naotaga ndoto ambazo 90 Ni za kweli ,
Kama ajali imetoka bas maono yake Ni kweli
Tuombe mungu kusiwe na vifo vyovyote
 
Huwezi amini vyombo vya habari vya Tz breaking news wameipata hapa Jamiiforums na wengine zinapita dk kadhaa hapa lakini bado hakuna breaking news la tukio hili. Tupo nyuma sana ndugu zangu watanzania
Nop Inagusa image ya nchi kwenye aviation industry ya dunia hivyo hawawezi kuandika tu kirahisi bila uratibu na hasa baada ya taarifa rasmi.Wako sahihi
 
Back
Top Bottom