Bukoba: Ndege ya Precision Air yapata ajali Ziwa Victoria, watu 19 wafariki dunia

Bukoba: Ndege ya Precision Air yapata ajali Ziwa Victoria, watu 19 wafariki dunia

Huwezi amini vyombo vya habari vya Tz breaking news wameipata hapa Jamiiforums na wengine zinapita dk kadhaa hapa lakini bado hakuna breaking news la tukio hili. Tupo nyuma sana ndugu zangu watanzania
Mkuu siku hizi social media zinapata habari faster kuliko hivyo vyombo vya habari,Social media ni watu wengi ambao wapo maeneo mengi tofauti tofauti,so inakua rahisi kupata habari faster.
 
Kuna jamaa mmoja alitabiri ajari ya ndege kutokea lakini alisema itakatika/kupasuka katikati ikiwa angani.
 
rest in peace magu: reason ; magu alijua akili za watanzania zilivyo, bila kuwajibishwa hawawezi kubadilika, hapo inaoenekana ndege lazima ilikua na hitilafu lakini kwa kutaka faida ikapewa kibali cha kuruka na mamlaka za kiserikali. hapo ndo nampendea uncle magu, pole angetoa, lakini lazima angetoka na vichwa vya wakurugenzi, kwa nchi za wenzetu kurusha ndege huku ina hitilafu na ikatokea maafa hio ni manslaughter kabisa.
 
Niliuona ule uzi, watu wakambeza sana jamaa, ila kuna mtu akaja akasema jamaa huwa hakosei / hatabiri uongo na leo imetokea.

Poleni sana wasafiri mliokuwa ktk ndege hiyo
Mkuu ulete huo Uzi hapa tupate maarifa ya kiroho
 
Mungu awafanyie wepesi abiria wote wapone kwenye hii dhahama ya ajali.

Ila Uokoaji bado upo nyuma sana kwa sasa, naona Mitumbwi tu hakuna vifaa vya kisasa yaani..Labda Tusubiri Kuona Vikiletwa
 
Back
Top Bottom