Bukoba: Ndege ya Precision Air yapata ajali Ziwa Victoria, watu 19 wafariki dunia

 
Ndoto huja kama vipande vipande (Scattered Pieces of Puzzles) ambavyo muotaji inabidi avitafsiri (Decoding). Kwenye ndoto hua inaangaliwa Main Theme ya ndoto baada ya kuunganisha hivyo vipande na sio kila kilichhotwa ndio kitatokea hivyo

Mfano. Yusuph aliota kuhusu Ng'ombe saba waliokonda na Ng'ombe nae waliokonda. Kwa tafsiri ya kawaida utasema mifugo itakumbwa na Maradhi...Lakini kwa tafsiri sahihi ilikuja kutokea miaka 7 ya ukame na miaka saba ya mavuno. You See nhuuu?

Mtoa ndoto kaota rangi nyekundu ila ipo njano pale, so kitabiri bado hayuko nje ya lengo kuu la ndoto.

Btw, Nawatakia pole wote waliopata ajali Mungu awatie nguvu katika kipindi hiki
 
Sio Kila ndege inapoanguka huwa ni ubovu wa ndege, Hali ya hewa pia inaweza sababisha, turbulence au makosa ya rubani pia, nadhani tusubiri taarifa kamili kutoka Kwa wahusika

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app

Asante sana Mkuu
Najua report za kiufundi zitatoka, ila mpaka sasa hakuna uhusiano wa ubovu wa ndege. Hypothesis kuu ni hali mbaya ya hewa.

Kwa faida tu ya wengi, hizi ndege za ATR ziko vizuri na nikiri kua ni mmoja wa abiria wa mwanzo kabisa kuzitumia zilivyoingia Tz zikiwa mpya.Record yake ni nzuri.

Si kila jambo tuingize siasa, ni kweli Rais wetu alijitahidi kutuletea ndege za ATCL ila haina uhusiano na ubora wa ndege za kampuni binafsi na kuleta allegations za ajabu za kusadikika! Lets remain professional tusiwe hoya hoya wa kupayuka tukidhani ajali za ndege ni kama za Toyo Au Zhongtong buses!
 
Jwtz ni jeshi la kizamani sana,hawana mitumbwi ile ya hewa ambayo wangefika nayo hapo,hii ndege ingeanguka kati kati ya ziwa watu wote wangekufa, nchi zilizoendelea huwa tunaona kwenye media jeshi linafika kwa ndege na askari wanashuka kwa parachute ziwani

Kama nchi haitonunua vifaa siku moja itazama ndege kzti kati ya ziwa watu wote wafe
 
Huwezi amini vyombo vya habari vya Tz breaking news wameipata hapa Jamiiforums na wengine zinapita dk kadhaa hapa lakini bado hakuna breaking news la tukio hili. Tupo nyuma sana ndugu zangu watanzania
Kweli bado tunasafari ndefu aisee nmepita insta kote kimyaaa mpaka nikahisi hii habar ya uongo..Mungu awavushe salama
 
Huwezi amini vyombo vya habari vya Tz breaking news wameipata hapa Jamiiforums na wengine zinapita dk kadhaa hapa lakini bado hakuna breaking news la tukio hili. Tupo nyuma sana ndugu zangu watanzania
Upo nyuma wewe unaetegemea hivyo vyombo vya habari local,,,,.social networks ndo kila kitu,,,,
 
Jeshi la tz liko kisiasa ,mfano Moto mlima Kilimanjaro ,Ilibidi itumike teknolojia ya drones kuuzima lakn cha kushangaza ata Helikopta hakuna ,watu wanapanda mlima kwa miguu kuelekea eneo la tukio
 
Tupeni taarifa kama wenzetu wamenusurika au hali iko vipi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…