Bukoba: Ndege ya Precision Air yapata ajali Ziwa Victoria, watu 19 wafariki dunia

Mkuu hii sio ajali, ni zoezi tu la kupima uwezo wa uokozi endapo ajali halisi itatokea. Inaitwa AJALI ZOEZI.
Ni ajali kweli Watu wamechanganya matukio mawili tofauti.Zoezi lilikuwa mwaka jana ,hii ya Leo ni ajali na mkuu wa mkoa kathibitisha.
 
Dah hapa nilipo nimefurahi nakurukaruka abiria wote wamepona. Mungu mkubwa.
 
vuteni hiyo ndege na kamba yenye nanga ifike ufukweni, acheni uvivu watu mliopo hapo
acheni kuhangaika na picha,
Ina maana mamlaka husika hawana
Vifaa ili warahisishe zoezi la uokoaji

Ova
 
Ndugu hata hizo za mashirika ya kimataifa, likitokea la kutokea imo. Nakumbuka 2015, Turkish Airline, rubani alitua vibaya sana si kwa kishindo kile ardhini. Hiyo siku nilijamba sana kwa hofu, tumbo lilijaa gesi vibaya mno
Kumbe kujaa gesi huwa pia kunasababishwa na hofu au mshtuko! Nilidhani ukiwa na matatizo ya moyo ndio mtu anapata shida hizo. !
 
Bado kuna abiria hawajatolewa
Wameokolewa 26 tu ambao wamepelekwa hospital, hali zao haijulikani zikoje.

Wengine 17 bado hawajaokolewa ikiwemo marubani
Wamewaokoaje hao ( hawa ) Abiria wakati 90% ya Ndege imezama na kule Mkiani tu ndiko Kunatusalimia Watanzania mara ya mwisho mwisho?
 
MV Bukoba imezama wanaiona...
 
Hii Ajari Kuna watu mnataka kuitumia ili mjipatie umaarufu wa kijinga ,sijui mtabiri nk

Acheni hayo mambo hakuna hata binadamu mmoja mwenye huwezo wa kufahamu kuhusu Kesho Nini kitatokea Katika Maisha ya Binadamu.
Unaongea isiyokuwa na ufahamu nayo, Cha msingi tuwaombee ndugu zetu,
 
Kuzaliwa 3rd world ni janga!
3rd world itakuwa si janga tutapotenganisha siasa na mambo ya msingi yanayoitaji proffesion,wasomi wajitenge na hawa viumbe wanasiasa wanaojua tu kula hela bila kuzitolea jasho lolote wao ni maslahi hata kwenye afya yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…