FURUSHI LA CHANJO
JF-Expert Member
- Sep 26, 2022
- 874
- 1,080
Pole Kaka. Buriani pumzika kwa amani.Basi kwa imani hii ndio maana mnapigwa na akina masanja na shila
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole Kaka. Buriani pumzika kwa amani.Basi kwa imani hii ndio maana mnapigwa na akina masanja na shila
Nikupe pole wewe unayeona huyu kuku lakini bado unasema umeambiwa ni ng'ombePole Kaka. Buriani pumzika kwa amani.
Ni ajali kweli Watu wamechanganya matukio mawili tofauti.Zoezi lilikuwa mwaka jana ,hii ya Leo ni ajali na mkuu wa mkoa kathibitisha.Mkuu hii sio ajali, ni zoezi tu la kupima uwezo wa uokozi endapo ajali halisi itatokea. Inaitwa AJALI ZOEZI.
Dah hapa nilipo nimefurahi nakurukaruka abiria wote wamepona. Mungu mkubwa.Mungu awaokoe waliomo. Maana ziwa kubwa kama hilo lakini hatuna mfumo mzuri wa kuokoa watu wakipatwa na majanga.
Tangu ajali ya Mv Bukoba mwaka 1996 ilipotokea hakuna juhudi za maana za kuwa na mfumo wa kisasa wa uokozi kwenye ziwa hilo kubwa barani Afrika.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mtajua hamjuiWahuni walisha anza Mara eti ajali zoezi , yani ajali zoezi na abira, alafu robo 3 ya ndege umefunikwa na maji ,Sijui wanafanyaga haya KWa faida ya nani
Huyu ndege imeteleza, ingekuwa kwenye mwendo mkubwa wangeikuta kati katiHujajua ajari za ndege zinakuwaje. What if hii ni runway skid off ambayo imepelekea ndege kwenye tope la maji na kuzuia isiharibu airframe. Na vipi ulitaka ndege ivunjike watu wafe ndio iitwe ajari
Usiwe na wasiwasi baby.Umeanza kutongozwa, nakucheck tu.🙆
Mi nawahofia ambao hawajaokolewa hadi muda huu
Ina maana mamlaka husika hawanavuteni hiyo ndege na kamba yenye nanga ifike ufukweni, acheni uvivu watu mliopo hapo
acheni kuhangaika na picha,
Siyo treni mkuu?Pamoja na yote, ndege ndiyo Usafiri salama zaidi kuliko wowote.
Kumbe kujaa gesi huwa pia kunasababishwa na hofu au mshtuko! Nilidhani ukiwa na matatizo ya moyo ndio mtu anapata shida hizo. !Ndugu hata hizo za mashirika ya kimataifa, likitokea la kutokea imo. Nakumbuka 2015, Turkish Airline, rubani alitua vibaya sana si kwa kishindo kile ardhini. Hiyo siku nilijamba sana kwa hofu, tumbo lilijaa gesi vibaya mno
Nipo mzima kabisa na sijambo kabisa. Jukwaani huwa ninakuja.we msukuma hujambo'?? Umepotea jukwaani
Wamewaokoaje hao ( hawa ) Abiria wakati 90% ya Ndege imezama na kule Mkiani tu ndiko Kunatusalimia Watanzania mara ya mwisho mwisho?Bado kuna abiria hawajatolewa
Wameokolewa 26 tu ambao wamepelekwa hospital, hali zao haijulikani zikoje.
Wengine 17 bado hawajaokolewa ikiwemo marubani
MV Bukoba imezama wanaiona...Kwa bongo inavyokuwa vifo vitatokea kwa uzembe hilo tulitarajie. Ndege imepata ajari wanaiona hapo ila kuna mitumbwi ya kuokoa na pale napajua pembeni upande wa kulia tumeogelea sana utotoni pako karibu na dock ila hata vifaa vya kuokolea hamna. Mamlaka wanahangaika kwa ndege ya watu 40 hata ukiogelea unaifikia sasa imagine iwe ni meli yenye mamia inazama ziwani mbali kilomita ngapi uko
Unaongea isiyokuwa na ufahamu nayo, Cha msingi tuwaombee ndugu zetu,Hii Ajari Kuna watu mnataka kuitumia ili mjipatie umaarufu wa kijinga ,sijui mtabiri nk
Acheni hayo mambo hakuna hata binadamu mmoja mwenye huwezo wa kufahamu kuhusu Kesho Nini kitatokea Katika Maisha ya Binadamu.
Ndio maana yake. !Ina maana mamlaka husika hawana
Vifaa ili warahisishe zoezi la uokoaji
Ova
Mkuu wa mkoa Chalamila kasema,watu waliokuwemo ni 43,waliookolewa ni 26 na wapo hospital ya Rufaa ya mjini Bukoba.Hilo zoezi ni la mwaka Jana.Hii ya Leo ni ajali kweli.Dah hapa nilipo nimefurahi nakurukaruka abiria wote wamepona. Mungu mkubwa.
3rd world itakuwa si janga tutapotenganisha siasa na mambo ya msingi yanayoitaji proffesion,wasomi wajitenge na hawa viumbe wanasiasa wanaojua tu kula hela bila kuzitolea jasho lolote wao ni maslahi hata kwenye afya yakoKuzaliwa 3rd world ni janga!
Mama isihaka wasalimie hapo kongoweWamewaokoaje hao ( hawa ) Abiria wakati 90% ya Ndege imezama na kule Mkiani tu ndiko Kunatusalimia Watanzania mara ya mwisho mwisho?