Bukoba: Ndege ya Precision Air yapata ajali Ziwa Victoria, watu 19 wafariki dunia

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]
 
Habari za kusikitisha sana! Ila tumshukuru Mungu kwa kuwa ndege imeangukia majini badala ya kuangukia nchi kavu!! Ingeangukia nchi kavu ingeungua na hakuna hata mmoja ambaye angepona. Lakini hadi sasa inasemekana watu 26 wameokolewa na jitihada bado zinafanywa ili kuokoa wengi zaidi!! Tuendelee kumwomba Mungu!!

 
Nimeumia Sana kiukweli ndugu zangu na rafiki kupata Ajari

Pia tusiendelee kupiga ramli tutulie Muda ukifika kila mmoja lazima atapata taarifa kamili na wengi mnataka kusikia kuwa wamekufa wangapi Kama ilivyo kawaida yenu basi ENDELEENI kusubiri mamlaka kamili na ndugu wa wahanga.
 
Kuna mtu alitabiri juzi hapa kuwa ndege itaanguka tena hapa jamii forums....

Yule jamaa ni mchawi
 
Just imagine imezama saa mbili ,halafu almost 87 percent ndani ya maji,how is possible mtu achomoke hapo,wamefunguaje ule mlango hao wavuvi,na wameanza kuokoa muda gani baada ya impact?TBC,ITV Na nyingine zote zipo kimya why?
Hata mimi nimejiuliza maswali. 26 wamewaokoa kiaje yaani ?Hata kavideo hakuna jamani. Wabongo kabisa ikosekane video?
 
Just imagine imezama saa mbili ,halafu almost 87 percent ndani ya maji,how is possible mtu achomoke hapo,wamefunguaje ule mlango hao wavuvi,na wameanza kuokoa muda gani baada ya impact?TBC,ITV Na nyingine zote zipo kimya why?
Ndani ya ndege kuna watumishi maalumu kwa ajili ya kutoa msaada kama janga likitokea! Wanafahamu milango ya dharula ilipo!
 
Kama Taifa tuendelee kujifunza kuandaa mazingira bora ya kukabiliana na majanga. Hii ajali kwa mataifa yaliyoendelea wangeokolewa abiria wote ila kwetu, Mungu asimamie.
 
Labda ilikuwa mara yake ya kwanza kupanda ndege au kukutana turbulence.

Unaweza kutana na kubwa sana kama vile mko Barabara ya mashimo na hizo zipo nyingi sana kama una safiri kuelekea West Africa huko
 
Ndani ya ndege kuna watumishi maalumu kwa ajili ya kutoa msaada kama janga likitokea! Wanafahamu milango ya dharula ilipo!
Hiyo Milango ya Dharula huwa inafunguliwa na hao Cabin Crew Ndege yote Kasoro Mkia tu ikiwa imezama Majini tena katika Kina kama iliyopo?

Hivi una Akili kweli Wewe au unataka tu Kutuchosha hapa Watu wenye Akili nyingi kutuzidi mpaka zingine tunafikiria Kuzipunguza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…