Sawa umepatia, unafikiri mashirika ya ndege USA na ulaya Kwa ujumla ndege zao zikifika eneo kama hilo abiria wana experience hali tofauti na kuwa comfortable!?, Hata ndege ziwe mpya vipi turbulence haiepukiki na mabadiliko ya hali ya hewa na maeneo yote yenye milima huwa yanazingua ndege, mpaka Sasa hakuna ushahidi wa ajali za ndege kuonekana nyingi Africa kwasababu yeyote, uwiano upo sawa mabara yote. Sema post yako Ili base kukandia ndege za bomberdier alizoagiza JPM na Kwa kukukosoa zote zilitoka Canada zikiwa mpya kabisa. Chuki na kudharau vya nyumbani vinatufanya tuongee tusiyoyajua, sikulaumu.