Bukoba: Ndege ya Precision Air yapata ajali Ziwa Victoria, watu 19 wafariki dunia

Huenda alihisi itaanguka akadump mafuta yote
 
Katika mazingira ya ajali kama hiyo, Mungu huwajalia watu ujasiri na uthubutu wa hali ya juu!! Amini usiamini milango ya dharula ilifunguliwa na kwa taarifa zilizopo takriban watu 26 wameshaokolewa na kupelekwa hospitali ya mkoa-Bukoba!
43-26=17
Watu 17 wako wapi Muda huu?
 
Wavuvi tupo tunafanya uokoaji wa kisasa tumeifungwa kamba kwenye ile bawa yake ya kushoto tunaivuta kama vile tunavuta mtego wa samaki, wale wanajeshi tunaoonyeshwa kwenye 9 Dec kuwa ni wanamaji wapo wanaogopa kuloanisha unform

ila tunaishukuru serekali ya mama samia ndege haikuangika kina kirefu cha mbali
 
vipi rubani kapatikan au bado
 
Blabla
 
Kwahyo watu waliposali ndege ikabadirika rangi kutoka nyekundu mpaka kijani, ikaamua iangukie na majini ambapo ndiyo hatari zaidi?
Kweli maombi yana nguvu sana
Nadhani walikujibu vizuri waliozungumzia errors zinazoweza kutokea wkt nafsi(akili) ya mtabiri inapotafsiri kitu cha kiroho.Changanya maelezo connect dots.
 
Anao anaowachapia na yeye sema ni mbwa alikula mbwa
Hata kama anao lakini yeye kachapiwa hadi mke akazalishwa. Unajua najiuliza masanja anavyopenda kuposti posti mapicha ya waifu hajawahi kuposti picha akiwa na madogo hata kuwasifia tu.
 
Katika mazingira ya ajali kama hiyo, Mungu huwajalia watu ujasiri na uthubutu wa hali ya juu!! Amini usiamini milango ya dharula ilifunguliwa na kwa taarifa zilizopo takriban watu 26 wameshaokolewa na kupelekwa hospitali ya mkoa-Bukoba!
Hiyo Milango iliyowatoa hao Abiria wako 26 ilifunguka Kimiujiza hivyo Ndege ikiwa inaanza Kupepesuka Angani au ilipodumbukia mazima hivyo ndani ya Maji ( Ziwa ) na Kutuachia Mkia wake tujue ilipozamia?
 

Wanatumia simu za kawaida mzee baba, ndege ipo karibu tu na ufukwe wa ziwa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…