Championship
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,500
- 10,616
Pole kwa wafiwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huenda alihisi itaanguka akadump mafuta yoteKwahiyo Rubani Mzoefu Kazamisha Ndege au? Halafu naomba kujua inawezekana vipi Ndege kama hiyo ikwa imeanguka na Kuzimika kabisa hata kwa Mitambo yake halafu Marubani wake bado wawe na access ya Mawasiliano na Mkuu wa Mkoa Samjo Samjo ( Msanii ) kama Albert Chalamila na Wengineo?
43-26=17Katika mazingira ya ajali kama hiyo, Mungu huwajalia watu ujasiri na uthubutu wa hali ya juu!! Amini usiamini milango ya dharula ilifunguliwa na kwa taarifa zilizopo takriban watu 26 wameshaokolewa na kupelekwa hospitali ya mkoa-Bukoba!
Mkuu tuombe tu wote wamepone ili tushehereke na tufurahi. Na najua tu wote salamaHivi Marubani bado hawajatolewa tu, bado wazima kweli?🤔
Anao anaowachapia na yeye sema ni mbwa alikula mbwaMasanja atampiga nani wewee wakati yeye anagongewa na kuchapiwa hadi wanasaidia kuzalisha
Hesabu ya wapi, ni 17 ndo baki43-26=27
Watu 27 wako wapi Muda huu?
vipi rubani kapatikan au badoRubani wa ndege ya Precicion Air iliyopata ajali ziwa Victoria leo, Kapteni Buruhani Rubaga (pichani) ni mzoefu katika sekta ya anga kwa miaka 20, huku msaidizi wake, akijulikana kama First Officer Peter Omondi.
Mkuu wa mkoa wa Kagera, Albert Chalamila amesema kuwa mawasiliano kati ya marubani walio ndani ya ndege na mamlaka yanaendelea.
Ndege hiyo namba PW 494, ina miaka 12 tu kazini; kwa wanaofuatilia mambo ya ndege na teknolojia ya anga, ndege hiyo bado ni mpya na kama mamlaka zilivyosema kuwa hali ya hewa ndiyo iliyosababisha ajali hiyo, naungana nao.
Waliowahi kusafiri na ndege hiyo wanaisifu kwa huduma nzuri na umahiri wa marubani.
Ndege hiyo ilikuwa inatokea Dar es Salaam kuelekea Bukoba.
Taarifa zaidi zitatolewa na mamlaka husika.
#precisionair
View attachment 2408407
Uyo jamaa anachotaka kusikia tu ni vifo.Hesabu ya wapi, ni 17 ndo baki
BlablaNdege hiyo namba PW 494, ina miaka 12 tu kazini; kwa wanaofuatilia mambo ya ndege na teknolojia ya anga, ndege hiyo bado ni mpya na kama mamlaka zilivyosema kuwa hali ya hewa ndiyo iliyosababisha ajali hiyo, naungana nao.
Waliowahi kusafiri na ndege hiyo wanaisifu kwa huduma nzuri na umahiri wa marubani.
Nadhani walikujibu vizuri waliozungumzia errors zinazoweza kutokea wkt nafsi(akili) ya mtabiri inapotafsiri kitu cha kiroho.Changanya maelezo connect dots.Kwahyo watu waliposali ndege ikabadirika rangi kutoka nyekundu mpaka kijani, ikaamua iangukie na majini ambapo ndiyo hatari zaidi?
Kweli maombi yana nguvu sana
Hali ya majeruhi na vifo ipoje kwa sasa?Hivi Marubani bado hawajatolewa tu, bado wazima kweli?🤔
Mkuu,ndege inavutwa na kamba sada siku ndege ya jeshi ikizama watavuta na nini ? ,Ila huenda ni kama ulivosema jukumu lao kubwa ni kulinda wanasiasaHao unawaonea bure.
Kazi yao ni kuwalinda wanasiasa mafisadi huku wakiwabutua wananchi mateke.
Mambo kama haya HAWAKUSOMEA.
Picha ya majeruhi mkuu kwa sisi tunayetaka kuona wazimaUyo jamaa anachotaka kusikia tu ni vifo.
Hata kama anao lakini yeye kachapiwa hadi mke akazalishwa. Unajua najiuliza masanja anavyopenda kuposti posti mapicha ya waifu hajawahi kuposti picha akiwa na madogo hata kuwasifia tu.Anao anaowachapia na yeye sema ni mbwa alikula mbwa
Hiyo Milango iliyowatoa hao Abiria wako 26 ilifunguka Kimiujiza hivyo Ndege ikiwa inaanza Kupepesuka Angani au ilipodumbukia mazima hivyo ndani ya Maji ( Ziwa ) na Kutuachia Mkia wake tujue ilipozamia?Katika mazingira ya ajali kama hiyo, Mungu huwajalia watu ujasiri na uthubutu wa hali ya juu!! Amini usiamini milango ya dharula ilifunguliwa na kwa taarifa zilizopo takriban watu 26 wameshaokolewa na kupelekwa hospitali ya mkoa-Bukoba!
Kwahiyo Rubani Mzoefu Kazamisha Ndege au? Halafu naomba kujua inawezekana vipi Ndege kama hiyo ikwa imeanguka na Kuzimika kabisa hata kwa Mitambo yake halafu Marubani wake bado wawe na access ya Mawasiliano na Mkuu wa Mkoa Samjo Samjo ( Msanii ) kama Albert Chalamila na Wengineo?
Nenda hospitali utawakuta .Picha ya majeruhi mkuu kwa sisi tunayetaka kuona wazima
Ukitumiwa sasa hivi naenda Kunya ( Kuukweka ) Makusudi Getini pale MP 1 Makongo Lugalo.Picha ya majeruhi mkuu kwa sisi tunayetaka kuona wazima