Ndege huwa hewa ya nje haiingii ndani kama haijagonga mahali na kupasuka basi wako salama ila labda kwa wale wenye shida kama za presha na magonjwa nb mengineHivi Marubani bado hawajatolewa tu, bado wazima kweli?[emoji848]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndege huwa hewa ya nje haiingii ndani kama haijagonga mahali na kupasuka basi wako salama ila labda kwa wale wenye shida kama za presha na magonjwa nb mengineHivi Marubani bado hawajatolewa tu, bado wazima kweli?[emoji848]
Betty Chalamila?Hapana!!! Mimi siyo wala sikuwahi kuwa mshabiki wa JPM lakini kwenye hili ninamtetea!!. Tena nakumbuka taarifa ya habari inasomwa na Betty Chalamila saa 2 usiku akatoa angalizo kuwa picha zitakazofuata ni mbaya. I still have in my mind picha za watu watoto kwa wakubwa walivyobanwa kwenye mabehewa!!. Hapana hawakuficha idadi ya waliofariki sababu hata memorial yao ipo Dodoma sehemu walipozikwa wale walioshindwa kutambulika
Hapa hakuna alie hai. Kwa waliobaki humo.
Hapa hakuna alie hai. Kwa waliobaki humo.
Eti zoezi la utayari na uokoaji! Hii nchi ina watu wajinga kweli! Na hapo mtu ana access ya internet, nikisikia eti CCM wanaiba kura huwa nashangaa sana...mjinga unamuibia au unamdanganya anakupa tu!
Sumu ijaribiwe Kwa kulambwa, uliona wapi?Pole!!! Hiyo ni ajali real. Huwezi kufanya simulation ya ajali kwa kutumia ndege inayofanya kazi tena ya private company.
Kassim Majaliwa ndo anakuja Bukoba Muda huu
Chala aliambiwa aache utoto hasikiiChalamila hoi hapo
Inasikitisha.Umeambiwa mwanzo walisema kwenye ndege walikuepo abiria 49 , mara ya pili ndege ilikua na watu 43 lakini waliookolewa ni 26 je bado wanaendelea kuokoa au tusubiri taarifa zaidi
Mm naona mjinga ni wewe uliepost kutaka onekana uko na wakatiSasa HV ndio CMG eti ndio wanaleta breaking news yao wakt jf inesharipot tukio hili muda mchache tu baada ya tukio kutokee
Kuna saa nilipost ndege ya precious ule mkia ukiwa unaonekana haujazama wote jamaa mmoja akanitext kuniuliza leo unaenda kupanda ndege nni Hapo Hapo nikatoka kufuta ile stutus nikasema nchi hi inawajinga wengi sanaa sijamjibu had sas nikamekausha
iko kwenye maji mzee, two hellicopters za kawaida kabisa zikifanya tandemn lifting na kuipull nchi kavu inawezekana kabisa...
tunazungumzia slight lift na pull, unaona hapo huo mtumbwi wa wavuvi unachofanya kuivuta maana tayari ni boyancy hiyo inaelea na kuivuta ni simple.
Imagine nae ndege atakakayopanda itumbukie tena kwenye kina kirefu.Kassim Majaliwa ndo anakuja Bukoba Muda huu
Usiwaze hivyoImagine nae ndege atakakayopanda itumbukie tena kwenye kina kirefu.
Ni jambo jemaKassim Majaliwa ndo anakuja Bukoba Muda huu
Kassim Majaliwa ndo anakuja Bukoba Muda huu
Wanasema huko hali ya hewa si njema.Usiwaze hivyo
Sio zoezi mkuu, waliorusha clip ya zoezi wamelirusha makusudi kupotosha hiyo ajali hiyo clip ni ya zamani sanaEti zoezi la utayari na uokoaji! Hii nchi ina watu wajinga kweli! Na hapo mtu ana access ya internet, nikisikia eti CCM wanaiba kura huwa nashangaa sana...mjinga unamuibia au unamdanganya anakupa tu!