Bukoba: Ndege ya Precision Air yapata ajali Ziwa Victoria, watu 19 wafariki dunia

Betty Chalamila?
 
Mm naona mjinga ni wewe uliepost kutaka onekana uko na wakati
 

Kama mtu floatation inampinga chenga hawezi kuelewa. Kwa kifupi maji yanasaidia kuinyanyua ndege inakua nyepesi. Inavutika kirahisi
 
Kassim Majaliwa ndo anakuja Bukoba Muda huu

anaenda kufanya nini?.
kilichotakiwa kufanyika ni uokozi wa watu waliokuwa kwenye ndege 100m kutoka nchi kavu kwa haraka na kunusuru maisha yao.

Kifuatacho ni blahblah zisizo na maana yeyote na kuendelea kutumia bure hela za walipa kodi huku mambo madogo madogo hatuwezi kufanya.
 
Eti zoezi la utayari na uokoaji! Hii nchi ina watu wajinga kweli! Na hapo mtu ana access ya internet, nikisikia eti CCM wanaiba kura huwa nashangaa sana...mjinga unamuibia au unamdanganya anakupa tu!
Sio zoezi mkuu, waliorusha clip ya zoezi wamelirusha makusudi kupotosha hiyo ajali hiyo clip ni ya zamani sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…