Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Mkuu usimshangae huyo kwani ni emotion tu kwa mtu na mtu, kuna watu hata movie tu wanaliaWe uliwahi kuona basi la abiria limepata ajali halafu mmiliki skawa analia hivyo utadhani waliokufa ajalini ni ndugu zake, ilhali bima ipo ana uhakika wa kupata mtaji wake ?
Hii clip inafikirisha, nyuma ya hili ipo siri nzito ila ndio imeshaanza kufunuliwa tayari , hakuna siri tena, itajulikana tu,
Hapo BP hata kama huna inaanza hapo hapo.Hawa wanaleta siasa but believe me hali si kama watu wa ....wanavyo push agenda zao humu,kukaa tu 20 minutes hapo unaponaje,hizi siri siri sijui faida ni ipi ,africans puuuh!
Wamefariki kwa uzembe
Hii serikali kazi kukopa tu na mijitu kwenda nje ya nchi kila kukicha lkn hakuna hata mwenye akili timamu alosema kuhusu ununuzi wa vifaa vya u
Hii serikali kazi kukopa tu na mijitu kwenda nje ya nchi kila kukicha lkn hakuna hata mwenye akili timamu alosema kuhusu ununuzi wa vifaa vya uokoaji.
Niwakumbushe Rais na Makamu wake wako nje kutafuta misada il wajanja waje waile! Nchi ya mazombi hii akitokea mtu hataki ujinga mazombi yanasema anayanyanyasa!
Labda walifungua mlango wakatoka wakawafungia waliobakiWatu 26 wame okolewaje? , Wamepitia sehemu gani ambapo waliobaki hawawezi kupita?
Hii nchi ni aibu sana , Ina maana hatuna vitu vizito vya kuvuta hii kitu toka asubuhi saa mbili asubuhi? Crane/tinga tinga/ tunge approach kampuni za ujenzi wa Chinese waje watu saidie kuvuta.
Wale walijiokoa wenyewe!Hivi wale 26 waliwaokoa saa ngapi kiaje ?
Nina mashaka sanaNaona hapa wanaokoa ndege
Mkorea uliona Jerusalem hii hapa..hilo eneo mwaka 2013.nilipanda bus maarufu la Moro rangi ya Simba, tulipoanza mteremko kutoka ilula bus likafeli break...mule ndani hakuna alioeonekana mpagani ...zilipgwa sala hatari..Mungu alituifikisha comfort..salama. ila wengi tulihama bus.na kuendelea na safariAanh
Ni hatari sana kupanda usafiri wa meli na ndege kwa hizi nchi zinazoitwa 3rd countries
Miaka 5 nyuma nakumbuka natoka Dar naenda Mbeya na hizi ndege za mtumba alizotuletea anko magu
Maeneo ya Iringa pale kitonga, ndege linayumba kwa sababu ya kani ya mvutano
Nilisali salamu maria mara 1, baba yetu mara 2
Na nikapiga Alu akbar kama 5 hivi
Kuna wale walio tua KLM naoAfu mwandishi mchokozi anaanza kufukua makaburi kuhusu ingine kuzima mpaka ndege ikalazimika kutua Tabora Kwa dharula.
Kuna wale walio tua KLM nao kuna mtu ana wahujumuAfu mwandishi mchokozi anaanza kufukua makaburi kuhusu ingine kuzima mpaka ndege ikalazimika kutua Tabora Kwa dharula.
Walifungua milango ?maji hayakuingia kwenye ndege ?Puzzle.Wale walijiokoa wenyewe!
Inamaana kwa taarifa hii Rubani hajajumuisha katika watu waliopoteza maisha? Lakini mkuu wa mkoa Chalamila alikuwa naongea watu 26 kuokolewa mbona namba imeanza kuleta mkanganyiko!
Makamu wa Rais tu mwenyewe sijawai mjua sura wala kichwa chake.Niwakumbushe Rais na Makamu wake wako nje ya nchi wakitafuta misada ili wajanja waje waile! Nchi ya mazombi hii twendeni tu!
Ushawahi kujiuliza uwanja uko karibu na ziwa lakini hakuna vifaa vya ukoaji! Our leader they do not think out of the box!