Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Mkuu usimshangae huyo kwani ni emotion tu kwa mtu na mtu, kuna watu hata movie tu wanaliaWe uliwahi kuona basi la abiria limepata ajali halafu mmiliki skawa analia hivyo utadhani waliokufa ajalini ni ndugu zake, ilhali bima ipo ana uhakika wa kupata mtaji wake ?
Hii clip inafikirisha, nyuma ya hili ipo siri nzito ila ndio imeshaanza kufunuliwa tayari , hakuna siri tena, itajulikana tu,
Ila baada ya siku kadhaa tutajua tabia zake kwenye mitandao hata ndugu na watu wa karibu wakitueleza alivyo who are we to judge a man