Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
Wananchi Wana upendo hamna jinsi wanashow love kusapot kitu kipo nje wa uwezo wao...Tanzania mungu atusaidieInatia huruma sana
Mpaka sahii unaweza kuta bado wanavuta kitu cha tani kadhaa watu wanavuta na mikono kituko cha mwaka
Makamu yuko TanzaniaNiwakumbushe Rais na Makamu wake wako nje ya nchi wakitafuta misada ili wajanja waje waile! Nchi ya mazombi hii twendeni tu!
Ushawahi kujiuliza uwanja uko karibu na ziwa lakini hakuna vifaa vya ukoaji! Our leader they do not think out of the box!
Hao hawajawahi fanikiwa kwenye tukio lolote lileJeshi la Zimamoto na uokoaji leo wameniangusha sana.
Huyo aliyepewa ubunge wa EA na kumuacha @paschalmayalla.
Familia ya Mzee Kachwamba ukoo wa panya walikula KCU hadi kubaki mifupa na bado wanae na wajukuu wanazawadiwa vyeo huko CCM...smahani wakuu nimekuwa too emotional na kusahau "msiba"
π€£ukumbushe umma mkuuKamanda Kova alichoropoka wa kwanza akasahau kuwa kamuacha bosi nyuma
Wanadai huenda waokoaji nao wamekufaInamaana kwa taarifa hii Rubani hajajumuisha katika watu waliopoteza maisha? Lakini mkuu wa mkoa Chalamila alikuwa naongea watu 26 kuokolewa mbona namba imeanza kuleta mkanganyiko!
Ndege ilikuwa na jumla ya watu 43
waliookolewa 26
waliofariki 19
Hapo kuna walakini ngoja tuvumuilie tutapata taarifa zote kwa usahihi! Polen sana nyote!
Kachwamba mkubwa (Abubakar Kachwamba) ndio zile figure za akina Makamba, Mzindakaya, nk.
Huwa nashangaa wahaya wanailaumu serikali kuwatelekeza huku hawawasemi akina Muhazi, Kachwamba, nk amabo walifuja Mali za walalaho na kujineemesha hadi wajukuu zao hawawasemi ....kwasababu ya msiba mkubwa wa kizembe ngoja niishie hapa ila Kuna siku nitaweka Uzi hapa wa wahuni wote wa Kagera waliojificha kwenye koti la CCM!
Aibu sanaSasa watanzania tushahamishwa kwenye jambo la msingi ambalo ni kipi chanzo Cha ajali lakini pia Kwanini vifaa vya uokoaji hakuna but tumeridi kwenye idadi ya watu very shame.
Wanadai huenda waokoaji wamekufa pia. Kwani waliobaki kwenye ndege wote wamekufaSasa 19 + 26 si 45?Halafu mnasema ndege likuwa na watu 43.Tanzania mimi sihami.
Wasingeweza kuishi masaa yote hayo bila Oxygen.Wanadai huenda waokoaji wamekufa pia. Kwani waliobaki kwenye ndege wote wamekufa
Rubani isingekuwa rahisi kutoka sababu asingefungua mlango kutokana na maji kujaa
Sasa yule jamaa alosema walikuwa wanawasiliana na rubani, alikuwa rubani yupi?πππMaana yake Rubani hajapatikana hadi muda huu
Babu ungeandika kwa kifupi snaKufa tutakufa tena wote lakini tunakufaje ndo hoja ya msingi! Ifike mahali tutumie akili zetu na rasilimali zetu kujiweka tayari dhidi ya majanga kama haya. Emergency preparedness against disaster risks! ni muhimu sana na ndiyo maana Sendai Framework (2015-2030) imewekwa kuelekea nini kifanyike.
Ni ajabu ndege inaanguka saa 8 asbh hadi jioni eti bado uokoaji unaendelea! Sitaki kuamini kuwa imetokea hivi kwa sababu ni Precision ingekuwa ATCL ingekuwa tofauti HAPANA! Tatizo letu sisi tumebakia kutukuza wanasiasa na viongozi hasa tukiwaona wakiwa kwenye magari na majengo ya kifahari.
Tanzania tumejisahau kiasi kwamba tunawaimarisha viongozi na chama tawala badala ya kuimarisha mifumo ya kulinda usalama wa wananchi!
Kitengo Cha majanga na maafa kipo ofisi ya waziri Mkuu uliza sasa mafungu yanayotengwa yanaishia wapi badala ya kuimarisha emergency preparedness?? Au ndo wajanja wachache wanatumia kuishi kifahari??
Ni hivi, tunapo furaie kuwa na viwanja, ndege, madaraja, magorofa, treni za umeme, pantoni, meli n.k tusisahau aspect ya emergency preparedness!! Tulazimishe Mifumo yetu iimarishiwe uwezo na rasilimali ili isiwe mizito sana katika kutenda kwa haraka na usahihi wakati wa ajali na dharura!
Dharura, ajali na majanga yapo na hayatokaa yaiishe. Hivyo inabidi tujiandae kwa elimu, vitendea kazi na bajeti (rejea Sendai Frame 2015-2030)!
Hii ya Precision haikupaswa kuwa hivi! Aki kusuasua kwa uokoaji kwenye ajali ya leo haina utofauti na kilichotokea kwenye ajali ya MV Bukoba 1996. Miaka 26 baadae, tumejifunza nini? Tumeboresha nini?
Nataka niamini kuwa hii ya leo imetufundisha kitu na sasa tutajiandaa dhidi ya majanga mbalimbali [emoji22][emoji22][emoji22]
(MUNGU awarehemu marehemu. Awasidie wahanga wa tukio na kufariji ndugu, jamaa na marafiki wote!)
Aisee..Sasa yule jamaa alosema walikuwa wanawasiliana na rubani, alikuwa rubani yupi?πππ
Au kuifunga maboya niliwahi ona hii mahali, ndege ilifungwa maboya hivyo haiku zama kabisailishindikana kupasua tundu hapo juu sehemu ambayo haiwezi kuingiza mji.
Ndio tunatakiwa kuwa na hizo board sio tunapiga somjo tuu za mipango ya munguNadhani hicho kitengo kitakuwa ndani ya T.A.A
NTSB nawaonaga Sana Kwenye zile documentary za air crash investigation
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Au kuifunga maboya niliwahi ona hii mahali, ndege ilifungwa maboya hivyo haiku zama kabisailishindikana kupasua tundu hapo juu sehemu ambayo haiwezi kuingiza mji.