Mia ya noti
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 866
- 1,234
Huenda aliona ajaribu kutua labda angefanikiwa.Ila Pilot kakosea sana. Angerudi Mwanza.Ndo maana mkurugenzi wa PA analia .Anajua hizi familia zikifungua kesi watazilipa mamilioni ya fidia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huenda aliona ajaribu kutua labda angefanikiwa.Ila Pilot kakosea sana. Angerudi Mwanza.Ndo maana mkurugenzi wa PA analia .Anajua hizi familia zikifungua kesi watazilipa mamilioni ya fidia.
Ndio hamna inaongozwa na Approach ya Mwanza...au unadhan kwasababu hamna tower then hamna waongoza ndege?Bukoba Airport haina Tower na hakuna waongoza ndege
Mamba anakaa ziwani?Ndege huwa inaruka angani japo ikitua ziwani inavyo vifaa vyake vya uokoaji yaani fulana na maboya ila inahitaji wahudumu wake walio makini na jasiri. Ndege ina milango na boya kubwa ambalo hutumika kuwatoa abiria ndani tayari wakiwa wamevaa fulana za kuelea japo haziwazuii samaki na mamba kutafuna miguu.
Yes ziwa victoria wapoMamba anakaa ziwani?
Apumzike kwa amani Bw. Njegere Mtani.Tayari RIP zimeshaanza kutokea kwenye groups za WhatsApp, inasikitisha sana
Kabla ya kuilaumi Serikali jilaumu wewe na watanzania wenzako kwa kutoiwajibidha Serikali I'll iyimize mnachokihitaji.Hii serikali kazi kukopa tu na mijitu kwenda nje ya nchi kila kukicha lkn hakuna hata mwenye akili timamu alosema kuhusu ununuzi wa vifaa vya uokoaji Wala askari kutrainiwa jinsi ya kuokoa watu kweny majanga
Weeee[emoji848][emoji849]Yes ziwa victoria wapo
Weeee[emoji848][emoji849]
Mama Tanzania uko vizuriKufa tutakufa tena wote lakini tunakufaje ndo hoja ya msingi! Ifike mahali tutumie akili zetu na rasilimali zetu kujiweka tayari dhidi ya majanga kama haya...
Basi maamuzi yake binafsi sababu sio busy airport.Bukoba Airport haina Tower na hakuna waongoza ndege
Waliopona na wangapi kwanza tuanzie hapo maana mpaka mda huu naona kuna Kama kificho ficho flani , Serikali hakusababisha ajali ,ila tumeona mapungufu katika vitendea kazi vya huokoaji, plus na akili ndogo wa viongozi wa Mkoa.Vifo vinafika 19
Kuna upuuzi mkubwa umefanyika eti wanaazima vifaa vya uokoaji kutoka Kagera Sugar nimeumia Sana kiukweli
Facts!Ndugu msiamini sana Serikali yetu Magufuli aliiharibu sana hao abiria 26 waliokolewa labda wakionekana ndio nitaamini.
Ndege kama ninavyoijua mimi plus huduma mbovu za uokoaji tulizonazo ikite ndani ya ziwa-halafu uniambie watu wameokolewa???.hii ni fanganya Toto na uongo wa mchana.
Ooh hapo nimekupata MkuuWao flightradar wanasema hizo ADB ni lazima kwa nchi za USA na EU, huku Afrika si lazima ila kwa ndege kama ATR ilitakiwa iwe nayo