Bukoba: Rais Magufuli ashuhudia utiaji saini mkataba kati ya serikali ya Tanzania na kampuni ya LZ Nickel. 'Multipurpose Smelter' kujengwa Kahama

Yes kwa kuendesha uchaguzi usio huru na haki!!
 
.....".Mh. JPM rais wa Tanzania amekomesha kuhomolwa kwa madini Tanzania....." by Prof. P. Kabudi

kuhomola = (neno jipya la kiswahili Tanzania) lenye maana ya kukwapua kiujanja ujanja mali ya mtu huku mwenye mali akishangaa tu!
Neno la KISUKUMA hilo .... atakuwa alikuwa anajaribu kumfurahisha Mkuu!!
 
Ukitaka kujua watanzania hawavutiwi na wezi wa kura, tazama huu uzi una masaa mangapi, na una wachangiaji kiasi gani. Ninashukuru mimi sasa hivi sisomi magazeti wala kuangalia Tv na kusikiliza redio za nyumbani maana ni za kuabudu tu. Na watu wengi pia wako kama mimi. Huo ni udhibitisho kuwa unaweza kutumia madaraka yako kuwatala watu, lakini hakuna uwezekano wa watu hao kukukubali. Fuatilia hata bunge kwa sasa halina mvuto tena, maana walioko humo hawana ridhaa ya umma.
 
Habari mbaya sana hii kwa wafuasi wa chadema

Kama ilivyokuwa habari mbaya kwa wafuasi wa cdm kwa kusainiwa kwa mkataba wa gas enzi za JK. Mbona hatuoni wanaccm wakichangia kwa wingi kwenye hizi habari nzuri za ccm, au wanaccm wote ni wazee hivyo hawajui kutumia mitandao?
 
.....".Mh. JPM rais wa Tanzania amekomesha kuhomolwa kwa madini Tanzania....." by Prof. P. Kabudi

kuhomola = (neno jipya la kiswahili Tanzania) lenye maana ya kukwapua kiujanja ujanja mali ya mtu huku mwenye mali akishangaa tu!
Kisukuma hicho!
 
Safi sana Magufuli
Mukataba umesainiwa hapahapa tz,tena ukirushwa hewani hazarani kila mtu anaona,kumbukeni watangulizi wake walikua wanasainia canada huko, lakini kuna watu hapa watakuja kuponda tu, munyonge munyongeni lakini haki yake mpeni kajitahidi sana huyu mzee naamini ipo siku HISTORY ita mkumbuka na itasema.
 
Niliwaambia baadhi ya Members hapa tujichange tuombe sub contractor humo ndani, imekuwa kimya.

Ngoja nijitose kuomba sub kwenye labour based contractor au Supplier wa Misosi kama sio vyakula mule ndani. Hata kama wakija na wapishi wao huenda Vyakula gafi/visivyopikwa nikapewa tender ya ku supply
 
Bavicha chapeni kazi acheni majungu!
 
"Saccos" wapo au wanawakilishwa na nani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…