wakiona habari hizi wanasikia kizunguzunguUfipa huwezi kuwaona hapa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wakiona habari hizi wanasikia kizunguzunguUfipa huwezi kuwaona hapa!
Wanajificha!wakiona habari hizi wanasikia kizunguzungu
Leo hawa ni wadau wa maendeleo - ila siku wakitamka tu kwamba Uchaguzi haukuwa huru na haki hapo hapo watageuka na kuwa MABEBEBURUKagera mitano tena, kutoka kutukanwa hadi
CCM bana, mmeyauza madini bwerere weee sasa hizi utadhani si nyie ambao mlihusika na ukwapuaji huoufipa tokeni mafichoni.
Yes kwa kuendesha uchaguzi usio huru na haki!!Tuipongeze kwa dhati serikali awamu ya tano kwa kuondoa unyonge na maslahi madogo binafsi ya wachache kuingia mikataba makini yenye tija. Nimeilewa vizuri plan ya smelter ya madini, italeta mapinduzi makubwa ya uchumi kwa viwanda vya high tech karibuni.
Vyuo vikuu vyetu vifikiri mitaala ya sayansi kuunda accessories kadiri aina za madini batteries nk.
Kutia saini Bukoba, mradi Kahama! Wana Bukoba watafaidi nini hapo? Hata hao Kahama, mwisho wa siku watabaki na mashimo tuuu, na uharibifu mkubwa wa mazingira!Kagera mitano tena, kutoka kutukanwa hadi
Neno la KISUKUMA hilo .... atakuwa alikuwa anajaribu kumfurahisha Mkuu!!.....".Mh. JPM rais wa Tanzania amekomesha kuhomolwa kwa madini Tanzania....." by Prof. P. Kabudi
kuhomola = (neno jipya la kiswahili Tanzania) lenye maana ya kukwapua kiujanja ujanja mali ya mtu huku mwenye mali akishangaa tu!
Prof Kabudi amesema ni neno la kigogo!Neno la KISUKUMA hilo .... atakuwa alikuwa anajaribu kumfurahisha Mkuu!!
Inawezekana pia .... Wagogo sometime wakiwa wanaongea kwa mbali utafikiri ni Kisukuma!!Prof Kabudi amesema ni neno la kigogo!
Ukitaka kujua watanzania hawavutiwi na wezi wa kura, tazama huu uzi una masaa mangapi, na una wachangiaji kiasi gani. Ninashukuru mimi sasa hivi sisomi magazeti wala kuangalia Tv na kusikiliza redio za nyumbani maana ni za kuabudu tu. Na watu wengi pia wako kama mimi. Huo ni udhibitisho kuwa unaweza kutumia madaraka yako kuwatala watu, lakini hakuna uwezekano wa watu hao kukukubali. Fuatilia hata bunge kwa sasa halina mvuto tena, maana walioko humo hawana ridhaa ya umma.Amina!
Habari mbaya sana hii kwa wafuasi wa chadema
Kisukuma hicho!.....".Mh. JPM rais wa Tanzania amekomesha kuhomolwa kwa madini Tanzania....." by Prof. P. Kabudi
kuhomola = (neno jipya la kiswahili Tanzania) lenye maana ya kukwapua kiujanja ujanja mali ya mtu huku mwenye mali akishangaa tu!
Mukataba umesainiwa hapahapa tz,tena ukirushwa hewani hazarani kila mtu anaona,kumbukeni watangulizi wake walikua wanasainia canada huko, lakini kuna watu hapa watakuja kuponda tu, munyonge munyongeni lakini haki yake mpeni kajitahidi sana huyu mzee naamini ipo siku HISTORY ita mkumbuka na itasema.Safi sana Magufuli
Bavicha chapeni kazi acheni majungu!Ukitaka kujua watanzania hawavutiwi na wezi wa kura, tazama huu uzi una masaa mangapi, na una wachangiaji kiasi gani. Ninashukuru mimi sasa hivi sisomi magazeti wala kuangalia Tv na kusikiliza redio za nyumbani maana ni za kuabudu tu. Na watu wengi pia wako kama mimi. Huo ni udhibitisho kuwa unaweza kutumia madaraka yako kuwatala watu, lakini hakuna uwezekano wa watu hao kukukubali. Fuatilia hata bunge kwa sasa halina mvuto tena, maana walioko humo hawana ridhaa ya umma.
Bavicha chapeni kazi acheni majungu!
Mmepewa kamati mbili PAC na LAAC, msituangushe!Kazi inapigwa na sumu tunamwaga vile vile.
"Saccos" wapo au wanawakilishwa na naniTukio liko mubashara TBC na Upendo tv.
Karibu.
Up dates;
=======
10:19 Asubuhi: Kinachoendelea kwa sasa ni sala na dua kutoka kwa viongozi wa dini, kabla uliimbwa wimbo wa Taifa.
Katibu Mkuu- Wizara ya Madini: Mheshimiwa wa Rais kwa heshima kubwa naomba kukukaribisha katika hafla hii ya utiaji saini mikataba baina ya serikali ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania na kampuni ya LZ Nickel Limited.
Utiaji saini wa mikataba hii leo utawezesha kuanzisha kampuni ya pamoja yaani Tembo Nickel Corporation ambayo ni kampuni ya ubia ambayo itakuwa na wajibu wa kusimamia kampuni mbili ambazo nazo zinazaliwa leo kwa utiaji saini yaani LZ NICKEL MININGI LIMITED itakayoshughulika na uchimbaji wa nickel kule Kabanga wilayani Ngara na LZ nickel refining limited itakayohusika na ujenzi na uendeshaji wa kiwanda cha kuyeyusha madini mbalimbali yaani 'multi purpose minaral smelting industry' kitakachojengwa kule Kahama.
Utiaji saini wa leo ni muendelezo wa kazi nzuri na ngumu inayofanywa na timu ya serikali ya majadiliano, naomba pamoja na kwamba waziri wangu ataongea hapa, niwapongeze sana timu hii kwa kazi nzuri wanayofanya, hongereni sana.
Mkuu wa Mkoa-Kagera(Brig General Mark Gaguti): Kipekee na kwa niaba ya wananchi wa mkoa wa Kagera nikupongeze kwa ujasiri wako na dhamira yako ya kuzitetea rasilimali za Taifa hili Inawezekana ulipoanza na uperesheni makinikia wengi hatukukuelewa lakini naamini baada ya muda huu sasa, watanzania wengi wanakuelewa na wanakuunga mkono katika ddhamira hii ya kutetea rasilimali za Taifa.
SERIKALI YASAINI MKATABA NA KAMPUNI YA LZ NICKEL LIMITED
Hafla ya utiaji saini Mkataba kati ya Serikali ya Jamhuri ya Tanzania na Kampuni hiyo ya uchimbaji wa madini aina ya 'Nickel' kutoka Uingereza imefanyika Bukoba Mkoani Kagera leo Januari 19, 2021
Tukio hilo limeshuhudiwa na Viongozi mbalimbali wa Serikali waliongozwa na Rais wa Tanzania, Dkt. John Magufuli
Aidha, Waziri wa Mambo ya Nje, Prof. Palamagamba Kabudi amesema, mradi huo wa Kabanga uligunduliwa kutokana na utafiti uliofanywa na Serikali ya JMT kupitia uhisani wa UNDP kuanzia mwaka 1976-1979 ambao ulibainisha uwepo wa Madini ya 'Nickel'
Ametaja baadhi ya faida za mradi huo kuwa ni pamoja na mapato mrabaha, kodi, gawio. Pia, Waziri Kabudi amesema fedha zote zitakazotokana na mauzo ya Madini hayo zitahifadhiwa katika akaunti za Benki zilizopo Tanzania
RAIS MAGUFULI AAGIZA MRADI ULIOSAINIWA LEO KUANZA MARA MOJA
Dkt. John Magufuli ameagiza mradi wa madini ambao mkataba wake umesainiwa leo Mkoani Kagera kuanza mara moja akisema Watanzania wamesubiri mradi huo tangu mwaka 1976 na wamechoka na michakato
Amesema, anatumaini Mgodi huo wa madini ya Nickel ukianza kufanya kazi mapema mwaka huu, watakuwa na uhakika Ajira za Watu Milioni 8 zitapatikana kama walivyoahidi. Ameitaka Wizara ya Madini kuharakisha kwakuwa hakuna sababu ya kuchelewa
Aidha, amesema Tanzania ni mahali salama kwa uwekezaji hivyo Wawekezaje waje Nchini kwani kuna madini ya kila aina