Bukoba: Rais Samia afungua Msikiti wa Jami'ul Istiqaama, Juni 10, 2022

Bukoba: Rais Samia afungua Msikiti wa Jami'ul Istiqaama, Juni 10, 2022

Taasisi za kiislamu sasa zingejitahidi pamoja na kuomba misaada ya kuomba kujengewa nyumba za ibada wangeomba na misaada kwa ajili ya kuanzisha miradi mbalimbali kwa ajili ya kuwasaidia waumini wao kiuchumi misikiti ipo mingi sana
Wangeomba hata kituo cha afya
 
BADALA YA KUFUNGUA VIWANDA KWA AJILI YA MAENDELEO MNAFUNGUA MISIKITI NA MAKANISA NGOZI NYEUSI [ AFRIKA] IMELAANIKA 😡
 
Kwanza uislamu haruhusiwi kuwa kiongozi wa wanaume, wememistahi tu lkn nadhani moyoni walipiga astaghfla milioni kidogo
 
Msikiti huu Kwa khisani ya ndugu zetu wa Omani:

Kiswahili cha Arabia, kinaonesha mtu hasahau nyumbani hata kama ameenda Arabia

 
Huyu ndo Raisi sasa sio yule wa kujenga Daraja moja na kuua Watu sabini.
 
Back
Top Bottom