BULABO 2026 yahimiza vijana kutumia fursa zilizopo nchini kujikwamua kimaisha

BULABO 2026 yahimiza vijana kutumia fursa zilizopo nchini kujikwamua kimaisha

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
1,194
Reaction score
911
Kando ya Tamasha la Asili la Utamaduni BULABO linalofanyika katika Viwanja vya Ngomeni-Kisesa, Ilemela Mkoani Mwanza, leo tarehe 11/06/2026 limefanyika Kongamano lililowakutanisha Wanafunzi wa Vyuo Vikuu na Vya Kati katika Chuo Cha Mipango kwa lengo la kukumbushana umuhimu wa kuenzi tamaduni za Kitanzania katika kuilinda amani iliyopo nchini.

Aidha vijana wameaswa kuitumia elimu wanayoipata na Ukuaji wa Sayansi na Teknolojia(Utandawazi) kama nyenzo katika kuzikimbilia fursa mbalimbali zilizopo nchini ili kujikwamua Kimaisha badala ya kufuata mikumbo inayopenyezwa na watu wenye nia ovu kwa Taifa.
IMG-20260611-WA0056.jpg
IMG-20260611-WA0059.jpg
IMG-20260611-WA0061.jpg
IMG-20260611-WA0063.jpg
IMG-20260611-WA0065.jpg
IMG-20260611-WA0067.jpg
IMG-20260611-WA0069.jpg
IMG-20260611-WA0069.jpg
 
Back
Top Bottom