Uchaguzi 2020 Bulembo aahidi kumng'oa Zitto Kabwe kwa udi na uvumba

Hivi wenye haki ya kuchagua mbunge kule ni wananchi au bule-mbo??

Aulize mudhihir kwanza
 
Eti nini? "Kaahidi kutumia mafao yake kumng'oa Zitto Kabwe "!...Je TAKUKURU mmeisikia kauli hiyo?...Hapa ninapata shida kuelewa kama kitachotumika kumng'oa Zitto ni uzito Hoja za kampeni au fedha za mafao???
 
Halima anampenda sana Baba yake pia ana mpenda sana Mume wake

Pengine kitendo cha Halima kuolewa na Zitto kimeharakisha uamuzi wa Mzee Bulembo kutangaza kung'atuka

Mjukuu akikua anaambiwa Babu Yako alipambana Baba yako akose Kazi


Ila hata Mimi Kapuku bin Kabwela nmejulishwa kuwa imeamriwa bora Ccm ikose majimbo yote ya Mkoa Kigoma lakin Msaliti Zitto asirudi Bungeni
 
Halima tayari kashaolewa na zitto rasmi?
 
Kwa hiyo amempania Mkwe wake kabisa,Kweli hamtakii mema binti yake.Ila najua anamtania Basha wa binti yake.Zitto labda yeye asigombee tuu,lakini hakuna anayeweza kumng'oa kwa kupitia sanduku.Jamaa anajua siasa za aina zote.
 
Zitto sio msaliti, Ila ni Mbunge pekee mwenye uwezo wa kujibu hoja kwa ufanisi...Ni wabunge wachache wenye uwezo wa kusoma ripoti ya CAG na kuilewa, Ni wabunge wachache wenye uwezo wa kuchambua bajeti ya serikali na kuilewa...

Ukiachana na sifa hizo, Zitto ana uwezo wa kuwasilisha hoja nzito kwa lugha rahisi kwa wananchi na akaeleweka vyema.

Hilo ndio linalowapa shida CCM hawataki wananchi wajue ya uvunguni mwa serikali.
 
Nje ya mada, hivi kweli ZITTO kamuoa halima bulembo? Dah yule Dada Mimi namuona mzuri (ukiachana na chama chake),zitto basi anaidi totoz ya Lumumbaa au washaachana?
 
Umeongeakwa hisa sana. Umenigusa sana. Huyu naomba aliyemchukua nkurunzinza aje na huku! Umeongea kwa hisia kali zenye baraka za Mungu!
 
Sasa Muke Mkubwa ya Zitto ndio hatar jiddah, Shombe shombe la maana, Assist ya lile Goli alipewa na Hayati Deo Filikunjombe
Nje ya mada, hivi kweli ZITTO kamuoa halima bulembo? Dah yule Dada Mimi namuona mzuri (ukiachana na chama chake),zitto basi anaidi totoz ya Lumumbaa au washaachana?
 
"japo najua kweli Bulembo yuko fit maana siku ile alipomhukumu kifo Zitto pale Bungeni, yeye mtoa hukumu anaendelea kudunda ila yule mshangiliaji hukumu ile kwa kupiga tuu makofi amechomoka!."

[emoji848]Mkuu unaweza ukanidadavulia kidogo hapo?
 
msukuma ata paragraphs mbili za report ya CAG hawezi kusoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…