Bulembo: Polepole ni Unyasi kaletwa CCM na kokoro, V8 ameijulia CCM, Bashiru alitoka CUF. Nataka Mdahalo na Polepole

Bulembo: Polepole ni Unyasi kaletwa CCM na kokoro, V8 ameijulia CCM, Bashiru alitoka CUF. Nataka Mdahalo na Polepole

Sasa kumekucha " if they can split in themselves "fine mjue ukombozi wa kweli na democrasia ya kweli inaenda kukaribia..Japo ..upinzani wawee makini mana neno CCM kutajwa tajwa inawrza kuwa kampeni tosha ya uchaguzi ujao. UPINZANI NI wakati wa kupanga mikakati ya offcate haya yanayoendelea!!wache waparuane tujue black and white!!
 
Bwashee vp unekosa hata bint yake mmoja inamana Zitto amekuzid ujanja????
Hahahaaaa....... huyu Bulembo alikuwa kampeni meneja wa Magufuli 2015.

Akapewa ubunge yeye na mwanawe Halima.

Zitto Kabwe akaingilia kati akaoa yule bint!
 
Enzi za uhai wake JPM alisema kuna watu mchana walikuwa ccm usiku chadema na hakutaja majina yawezekana huyo mzee alikuwa miongoni mwao
 
Ina maana ile shule ya wazazi nachingwea ni yeye huyu Bulembo alimuuzia PM ? Basi sawa uzauza mashule ya wazazi
 
Yuko sahihi dhana ya CHIPUKIZI [emoji117]UVCCM [emoji117]CCM etc haikuasisiwa from no where, waasisi walitaka vijana wakulie kwenye chama ili wawapike kikamilifu tokea wakiwa CHIPUKIZI wa chama then UVCCM mpaka ngazi ya juu. Hapa ndipo ilipoanza kauli maarufu ya CCM ina wenyewe wanaokijua chama mwanzo mwisho. Na hili linatupa sasa picha kwamba kitendo cha chama kusomba wahamiaji kiliwakera sana wenyeji..
 
Yaani Bulembo anasema anahela uliko Pole Pole anataka alipie ukumbi yeye! Yaani hawa wazee wa CCM wanafikiri vijana wote wanaakili kama Nape ni ujinga ujinga tu usio na kichwa wala miguu!
Walimlia pesa zake alipogombea udiwani kijitonyama na akashindwa na mtu wa kawaida
 
Hahahah mda mwingine akina Bulembo wanasumbuliwa na udini pamoja na ujinga! Yaani anajidai alikuwa anampenda Magufuli kwani kutembea na Magufuli kama kampeni maneja ndo kuwa naupendo nae? Yaani ukimsikiliza ndo utajua kiwango chake cha ujinga!
Wewe na huyo Polepole aliyekutuma ndio mna udini na ujinga mkubwa
 
Vipi muazimwe mgombea!
Mauaji na Unyanganyi wa Awamu ya 5
Unajua fika We ulikuwa miongoni mwa watu wanaotuma vijana na kuwadharay askari kwamba hawa wanatii maamui ya Chama Uki moderate utekaji Kwenye Ofis zenu UVCCM floor ya 5 office no 11 private detention room ambayo mkitaka kuwadhuru watu mmawaambia polis kuondoa watu wao! Polepole una uhalali gani wa Kusema unapigania watu!
 
Raha sana CCM wakiwa wananyukana, bahati mbaya wabongo wengi wapiga kura huwa hawafuatilii haya mambo kuona chama wanachokichagua kila mara hakina dira yoyote zaidi ya kugombania vyeo
 
Mauaji na Unyanganyi wa Awamu ya 5
Unajua fika We ulikuwa miongoni mwa watu wanaotuma vijana na kuwadharay askari kwamba hawa wanatii maamui ya Chama Uki moderate utekaji Kwenye Ofis zenu UVCCM floor ya 5 office no 11 private detention room ambayo mkitaka kuwadhuru watu mmawaambia polis kuondoa watu wao! Polepole una uhalali gani wa Kusema unapigania watu!
2010 mliazimwa dk slaa 2015 miliazimwa Lowassa 2025 chagueni mpewe!
 
Back
Top Bottom