chikambabatu
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 1,339
- 1,318
Hamna aliyempenda Magu, ila ulilazimika kuwa nae, mteuliwa wa CCM unalazimika kumfanyia kampeni ukiwa mwanachama, hata usipompenda. Ila tatizo la Magu lilianza aliposhika madaraka si kabla, wengi tulimuunga mkono, lakini akatuona mafala!Hahahah mda mwingine akina Bulembo wanasumbuliwa na udini pamoja na ujinga! Yaani anajidai alikuwa anampenda Magufuli kwani kutembea na Magufuli kama kampeni maneja ndo kuwa naupendo nae? Yaani ukimsikiliza ndo utajua kiwango chake cha ujinga!