Bulembo: Polepole ni Unyasi kaletwa CCM na kokoro, V8 ameijulia CCM, Bashiru alitoka CUF. Nataka Mdahalo na Polepole

Bulembo: Polepole ni Unyasi kaletwa CCM na kokoro, V8 ameijulia CCM, Bashiru alitoka CUF. Nataka Mdahalo na Polepole

Nchi imechangamka sasa. Wanawanyamazisha upinzani, wanaishia kujibizana wao.
 
Zito alimla mwanae .Mzee wkamruka huku mjukuu katulia na DNA ya kiha. Huyu Mzee alifunze kukaa kimya ,CCM hayupo wa kushindana na slow slow Kwa hoja. Ni rasmi wahuni wanaturudisha tulikotoka. Upinzani kama Wana akili waendelee kujipanga .
 
Bila tume huru ya uchaguzi ni bure tu
 
Sijui umetumia upande upi wa ubongo kufikiria....
Tuambie hapa kosa la Polepole.
Kwa maandishi yako inaonesha unakubaliana na Polepole ila una hofu yatampata yakumpata sababu ya ukweli wake.
Je ukiongea uongo utaishi milele?
Huo ukweli kaongea lini? Before 2015? Baada ya kuteuliwa na Magu? Au sasa baada ya kupokonywa tonge? Kati ya hao Polepole wa3 nani kaongea ukweli?
 
Back
Top Bottom