Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Bulembo anasema Polepole ni wale watu wanaosema "niamulizieni naenda kupigana" 😂Alisema kwamba hatoki, labda wamchomelee dirishani....teh😂🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bulembo anasema Polepole ni wale watu wanaosema "niamulizieni naenda kupigana" 😂Alisema kwamba hatoki, labda wamchomelee dirishani....teh😂🤣
Wewe ndio Mhuni na CCM yenuCCM ni yetu sote, Tanzania ni yetu sote... [emoji23] #kataawahuni
Maccm yote huwa ni majinga.Hahahah mda mwingine akina Bulembo wanasumbuliwa na udini pamoja na ujinga! Yaani anajidai alikuwa anampenda Magufuli kwani kutembea na Magufuli kama kampeni maneja ndo kuwa naupendo nae? Yaani ukimsikiliza ndo utajua kiwango chake cha ujinga!
Unawaambia nn wahamiaji???Yuko sahihi dhana ya CHIPUKIZI [emoji117]UVCCM [emoji117]CCM etc haikuasisiwa from no where, waasisi walitaka vijana wakulie kwenye chama ili wawapike kikamilifu tokea wakiwa CHIPUKIZI wa chama then UVCCM mpaka ngazi ya juu. Hapa ndipo ilipoanza kauli maarufu ya CCM ina wenyewe wanaokijua chama mwanzo mwisho. Na hili linatupa sasa picha kwamba kitendo cha chama kusomba wahamiaji kiliwakera sana wenyeji..
Vipi sindano imegonga mfupa shekhe? Nyie wavaa madera baadhi yenu kichani kuna tatizo!Wewe na huyo Polepole aliyekutuma ndio mna udini na ujinga mkubwa
Akili zenu fupi kila mkiona kiongozi wa dini nyingine mnakimbilia udini. Wewe na huyo Polepole very soon mtavuliwa chupiVipi sindano imegonga mfupa shekhe? Nyie wavaa madera baadhi yenu kichani kuna tatizo!
Hivi vi ID vipya huwa vinakuwa na mbwembwe sana, kuna mwenzako alikuja humu na ID Bia yetu, alikuwa na mbwembwe kama wewe, now kazikwa UchatoniVipi sindano imegonga mfupa shekhe? Nyie wavaa madera baadhi yenu kichani kuna tatizo!
Mgeja ulimsikia?Hahahaaaa....... huyu Bulembo alikuwa kampeni meneja wa Magufuli 2015.
Akapewa ubunge yeye na mwanawe Halima.
Zitto Kabwe akaingilia kati akaoa yule bint!
Hakuna kitu hapo! Huyo Bulembo na akina zitto udini ndo unawasumbua mnajidai kuwatetea akina Makamba na kinana! Wanafiki sana nyie!Akili zenu fupi kila mkiona kiongozi wa dini nyingine mnakimbilia udini. Wewe na huyo Polepole very soon mtavuliwa chupi
Shukurani ya punda.Hahahaaaa....... huyu Bulembo alikuwa kampeni meneja wa Magufuli 2015.
Akapewa ubunge yeye na mwanawe Halima.
Zitto Kabwe akaingilia kati akaoa yule bint!
Daah kweli Magufuli alitisha, hawa wazee walipigwa pini kali sana hakuna cha bulembo,makamba wala nani,saiv ndio wanajitokeza.Maneno ya Bulembo!
Polepole ni unyasi mkavu ni mdogo sana Mangula ashughulike naye.
Bulembo anataka mdahalo na Polepole na yuko tayari kulipia ukumbi.
Bashiru wa CUF hakutakiwa kuwa pale maana hajakulia katika chama cha mapinduzi! Sasa najiuliza kumbe chama cha mapinduzi ili uwe kwenye kundi la mwenye chama unatakiwa uwe umekulia humo!
Inaonekana pia suala la kinana na makamba ni kubwa hawa wazee ndo CCM yenyewe!
Paramagamba Kabudi aliharibu mahusiano ya kimataifa na Rais Samia sio sawa na Magufuli!
Hayo ni mambo ya Bulembo! Mmoja ya wenye COmbi.
Ombi! Vijana ambao Baba zenu sio wenye chama mwisho wenu 2025!
Wakati hawa viongozi walikuwa wakinyanyaswa awamu 5 na tuseme ilikuwa ni UdiniHakuna kitu hapo! Huyo Bulembo na akina zitto udini ndo unawasumbua mnajidai kuwatetea akina Makamba na kinana! Wanafiki sana nyie!
Rais awe makini sana na hawa wazee,watamsumbua, atakosa uwezo wa kufanya maamuziHakuna kitu hapo! Huyo Bulembo na akina zitto udini ndo unawasumbua mnajidai kuwatetea akina Makamba na kinana! Wanafiki sana nyie!
Hyo sio sababu hta ww unaweza ukapewa pen na jamaaa yako na ukafeli mtihani mwenzako akatoboaPolepole alipewa shati la chama na Nape wakati anatangazwa kwa mara ya kwanza kuwa katibu mwenezi![emoji23]
Wakae pembeni, washazeeka Walee wajukuu ,sio kila siku lazima tuwasikie wao ndio wapo serikaliniWakati hawa viongozi walikuwa wakinyanyaswa awamu 5 na tuseme ilikuwa ni Udini
Kauza kaole kwa huhaya mwenzake BUJUGU wakashindana wakatimuana mzeee ni JUHA SANA HUYUMhuni sana huyu muuza shule za chama!
Hyo sio sababu hta ww unaweza ukapewa pen na jamaaa yako na ukafeli mtihani mwenzako akatoboa