Bumbuli: Ng'ombe wa Mayele ni maarufu kuliko wasemaji wa timu nyingine za Ligi Kuu

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Saaaalam Wana JF....nawasalimu kwa jina la TFF

Msimu huu wa Ligi Kuu umeshuhudiwa kwa uwepo wa wachezaji wakali ndani ya Ligi Kuu Tanzania Bara maarufu Kama NBC PREMIER LIGUE....kutoka timu ya YANGA maarufu kama wananchi.....kwa wanaojua mpira ...wataona kuwa Yanga ndio timu yenye wachezaji bora kuliko timu yeyote hapa Bongo...

Fact
Ng'ombe aliyepewa mshambuliaji hatari Tanzania na barani Africa pia duniani kwa ujumla FISTON MAYELE ametokea kuwa maarufu kuliko hata wasemaji wa timu zingine hapa Bongo....... Mfano wasemaji wa Simba, Mtibwa, Kagera. Dodoma Jiji, Prison, Namungo, Azam FC na zinginezo.......

Source ...... Professor Bumbuli

Afisa Habari wa YANGA

Je, unakubaliana na hili?
 
Wenye akili huko Yanga ni Sunday Manara na JK. Waliobaki ni hamnazo . Kwahiyo siwezi kushangaa nikisikia kauli kama hizo.
 
Siungeandika Simba tu inatosha mana ndolengo lako!
Ng'ombe anaviewers wengi kuliko clab ya Yanga mweeee!
 
Kwahiyo mmeweka zizi mpaka jangwaniee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…