Ng'wanapagi
JF-Expert Member
- Sep 18, 2013
- 9,116
- 8,652
Ccta mie naogopa sana lifestyle iliyopo sasa Tanzania. Hebu angalia ujasiri walionao hao wauaji!! Najiuliza je inamaana tangu wazaliwe hawajawahia kufundishwa uwepo wa mungu!? Nimechoka kabisa heri kufa kwa Ukimwi lkn si kwa style hii. Nchi imelaaniwaMaskini,naimagine jinsi alivyoteseka kuchinjwa bila nganzi,Binadamu ni zaidi ya mnyama.Babu yangu aliniambia zamani ukiona Binadamu unapata moyo,siku hizi ni bora ukutane na Simba kuliko Binadamu mwenzako.
Sio kila kitu mnakiweka kwenye siasa wafanyabiashara yaweza kuwa alikua na mkwaruzano na matajiri wenzake ,,,msiingize siasa kila tukioLabda anataka aunganishe doti,mauaji ya Diwani wa CDM Kule Moro, Mwenyekiti wa NCCR MAGEUZI kule Kasulu na hili LA huyu tajiri ili ahitimishe kuwa mauaji ya sasa yamewalenga wapinzani.
Tungoje atakuja kuyajibu maswali yako yeye mwenyewe.
Kisasi gani,mambo yko wazi tusimeze maneno wasiojulikana wanafanya mambo kwa baraka za mkuu,huo mto kwa upande wa serengeti unamamba wengi sana ukipita utafikiria mijusi imejianika juani.Kuna mambo pia tunafanya nyuma na kusahau kabisa,, tunaacha vidonda mioyoni kwa watu ,, hujui mtu anawaza nn mwishoe ndio huwa hivyo,,,, unaweza kuta ni kisas hata cha miaka 15 iliyoisha ,,
Hatuwez jua pia,,
Mkuu kama hilo furushi lingekwama mahali huko mtoni ni dhahiri marehemu asingejulikana alipo. Nina mashaka hilo furushi ilidhamiriwa lionekane.Hapo ndipo tunaona mambo ya ukweli yalivyo, kapotea mtu, mke, watoto, jamaa na marafiki wametoa taarifa marehemu kapatikana...
Sasa haya ya mitandaoni kwamba maiti zaokotwa baharini halafu ndugu kutokulalamika haingii akilini kabisa..
Asa upande wa pili hata kama ni msibani watanusa kuwa ni kikao cha siri,hata kama mnajadili ishu za mazishi.Hawa wa ki bongo wana intelligencia za kisiasa si kiuhalifu
Mgeni... sawa labda mgeni muuaji.Mwili wa mmiliki wa mabasi ya Super Sami, Samson Josiah unaodaiwa kukutwa mtoni ukiwa umefungwa kwenye mfuko.
Mwili wa Mmiliki wa mabasi ya Super Sami Samson Josiah umekutwa katika mto Ndabaka eneo la Bunda /Lamadi
Taarifa kutoka vyanzo vya habari zinasema kwamba mwili wa Samson Josiah umeokotwa na wavuvi wa samaki leo jioni Jumatano Machi 14,2018.
Watu wa karibu na marehemu wanasema mwili uliookotwa ni wa Samson Josiah.
Miongoni mwa habari zilizoteka vyombo vya habari Tanzania tangu Machi 9, 2018 hadi ni kuhusu kupotea kwa mmiliki wa mabasi ya Super Sami, Samson Josiah kwa zaidi ya wiki mbili sasa. Soma => TANZIA: Mmiliki wa mabasi ya Super Sami akutwa amekufa na gari lake kuchomwa moto Serengeti
Mapema ilielezwa kuwa gari yake ndogo aliyokuwa akiitumia aina ya Toyota LandCruiser ilikutwa imechomwa moto katika Hifadhi ya Taifa ya Serengeti iliyoko mkoani Mara siku ya Machi 9, lakini yeye mwenyewe alikuwa hajapatikana.
Kwa mujibu wa familia ya Bwana Josiah, ambayo inaishi mkoani Mwanza, ilidai kuwa siku ya kupotea kwa Josiah ambayo ni February 27, majira ya usiku, Josiah alimpigia simu mkewe na kumwambia kuwa atarudi nyumbani na mgeni, na hayo yakawa mawasiliano yao ya mwisho.
Mabasi ya Super Sami yanafanya safari zake kuanzia mkoa wa Mwanza, kwenda mikoa ya Dar es Salaam, Dodoma, Iringa pamoja na Kagera.
Chanzo: Muafrika Halisi blog
hajawahi kujihusisha Na siasa, pombe hanywi. Ila hakuwa mnoko kuwakopesha fedha wahitaji.Huyu alikuwa chama gani kwani? Wanaomfahamu watueleze alikuwa anataka ubunge au nafasi ya kisiasa? Na je anahistoria gani nyuma ya utajiri wake?
Fanya busara kidogo kwa kuigiza kama nawewe ni mtu timamu.
Unaharibu upepelezi kwa kuingiza siasa. Au wewe ndio muhusika hapa unafanya hivi kuwapotosha wapelelezi?
Huyu alikuwa chama gani kwani? Wanaomfahamu watueleze alikuwa anataka ubunge au nafasi ya kisiasa? Na je anahistoria gani nyuma ya utajiri wake?
kaka mbona unabagua umesahau polisi wetu kibiti na raia wa eneo hilo?Kuna watu walipatikana katika mtindo huo huo tukaambiwa ni wahamiaji haramu!
sasa huyu ana jina tusubiri kuambiwa kama kajiua iki kuketa taharuki au wauaji wa ndanu wamekopi mtindo wa disposal wa wale wanaowatelekeza wahamiaji haramu waluokufa ili kuketa taharuki,ama wasiojulikana kwa ujumla wake wanaendeleza wimbi la mauaji?
Na sijui katika pelelezi zao wamepata kugundua kama kesi zote zinawatendaji wa aina moja au ni isolated na hapo tuanze mbali ,mauaji ya Mawazo yule wa morogoro ,mvungi nk na kwenye utekaji
Kibanda ,roma,nondo ,masheikh nk.
Na waliopotea kote iangaliwe kama wahusika wanahusiana.
Sijameza maneno,, nimewaza upande wa pili ,, siku zote dhambi yoyote ifanyikao ni vuno la shetan" na analaumiwa sawa ila kumbuka kuna mengine shetan hukana na kusema sijamtuma ni akil zake tu,,,Kisasi gani,mambo yko wazi tusimeze maneno wasiojulikana wanafanya mambo kwa baraka za mkuu,huo mto kwa upande wa serengeti unamamba wengi sana ukipita utafikiria mijusi imejianika juani.
Wamechoma gari serengeti halafu wakaja kumtupia upande wa mto kilawira ambapo hakuna mamba angeuawa serengeti maiti isingefika hpo ilipookotwa mamba wangeshafanya yao
Chama kinahusiana vipiHuyu alikuwa chama gani kwani? Wanaomfahamu watueleze alikuwa anataka ubunge au nafasi ya kisiasa? Na je anahistoria gani nyuma ya utajiri wake?
Huyu alikuwa chama gani kwani? Wanaomfahamu watueleze alikuwa anataka ubunge au nafasi ya kisiasa? Na je anahistoria gani nyuma ya utajiri wake?