Wetu hawana vifaa vya Kisasa ,wa nje ni sekunde tu maana wahalifu hawawezi shindana na teknologi,Kwa mifumo ya teknologi ya watu km FBI inawezekana,wanatrack location ya gari, wanafanya backup, na vitu vingine vingine then wanawadaka wahalifu.Nawaombea wapelelezi Mungu awape weledi waweze kuwatambua wauaji
Wawe na weledi kama wenzetu wazungu huwa wanatumia akili nyingi sana