Bunda: Mwili wa Samson Josiah, mmiliki wa mabasi ya Super Sami waokotwa mto Ndabaga kwenye Kiroba

Bunda: Mwili wa Samson Josiah, mmiliki wa mabasi ya Super Sami waokotwa mto Ndabaga kwenye Kiroba

DUH.... MUDA WOTE HUO WALIKUWA WANAMTESA LABDA KATAJA PESA ZOTE KAWEKA WAPI NDIPO WAKAMMALIZA....
 
Maskini,naimagine jinsi alivyoteseka kuchinjwa bila nganzi,Binadamu ni zaidi ya mnyama.Babu yangu aliniambia zamani ukiona Binadamu unapata moyo,siku hizi ni bora ukutane na Simba kuliko Binadamu mwenzako.
Toka kupotea kwake mpka kukutwa gari lake limechomwa moto wasiojulikana hawajawahi kusema lolote,hii awamu ndio wahusika na kiongozi wao hajawahi kusema lolote toka haya mauaji yameanza.
Mlimchagua wenyewe n kumsifia n kiongozi mwema kuwahi kutokea.kumbe ni kiongozi mwenye mikono iliyojaa rangi nyekundu,roho mbaya,visasi,kujifanya yeye ndio anaakili kuliko mtz yeyote
 
Kwa hali ya Tz kwa sasa, Heri ukutane na simba porini anaweza kukuacha salama kuliko kukutana na binadamu porini au maeneo tata.

Trust nobody except Jesus Christ only.

Mungu akuweke unapostahiri Samson Josiah.
Amen.
 
Watanzania sasa hivi wanauawa kama swala serengeti....

The state is at stake....maana hakuna mtu ajuaye kesho yake

Apumzike kwa Amani
 
Huo mwili baada ya wiki mbili wameutambua? Na mbona staili ni zile zile za watu walio kua wanafugwa kweny visandarus kweny Bahar ya hindi? Na huo MTO ndibaga usikute tuna share na mataifa mbalimbali ..ukute sio mwil Samson ni wa watu wa mataifa mengne kama ilivyokua bahari ya Hindi
Huenda na ben saanane akawa marehemu kwa zile maiti zilizookotwa coco beach bila kutambuliwa wala kufanyiwa uchunguzi
 
Ninavyoona watu wanapoteza imani na polis na hali ikiendelea hivi wengi zaidi watapoteza imani hata na wanaoshabikia kwa sasa. Kitu cha kufanya ni kufumua mfumo wa uongozi. Wizara hii iwekwe chini ya rais km ilivyo Tamisemi. Waziri na IGP, sijui km wanajua majukumu yao kwani naona wamejaa ushabiki kuliko weledi
Wanatumwa na boss wao hakuna jipya ht ikiwa chini ya Rais
 
Usalama Wa Raia umekuwa changamoto viongozi wa Juu haswa Minister Mwigilu ni wakati wako sasa ujitathimini na Uone kama una fit kuwa hapo
 
Back
Top Bottom