inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Alikula hela au alikua na ukimwi!?..Ila haiwezi kuwa ukimwi maana arv zipoHivi yule sista muhasibu pale bugando aliyejirusha dirishani, issue yake iliishia wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alikula hela au alikua na ukimwi!?..Ila haiwezi kuwa ukimwi maana arv zipoHivi yule sista muhasibu pale bugando aliyejirusha dirishani, issue yake iliishia wapi?
Paroko huruhusiwa kuoaAnapeleka wapi huo mpunga wote mtu hana demu wala watoto!
Chuki yako kwa wakatoliki haimithiriki!Sifa za kijinga hizi,padre gani ni jasusi kuliko tiss!?..mapadre kibao Wana watoto na tunajua,wengine walikunywa sumu baada ya kujua wameukwaa ukimwi na kueneza convent kwa masista..acha ukilaza,watakulawiti hao ukiwatukuza sana
Chuki Iko wapi!?..wanangu 95% wakatolikiChuki yako kwa wakatoliki haimithiriki!
Waliwahi kukulawiti naona unakuja kufura. Pole kwa puru yako kuharibiwa😭Sifa za kijinga hizi,padre gani ni jasusi kuliko tiss!?..mapadre kibao Wana watoto na tunajua,wengine walikunywa sumu baada ya kujua wameukwaa ukimwi na kueneza convent kwa masista..acha ukilaza,watakulawiti hao ukiwatukuza sana
Anilawiti mi atanilawitia wapi!?..hao watumikizi na nyie mnaosamehewa dhambi naoWaliwahi kukulawiti naona unakuja kufura. Pole kwa puru yako kuharibiwa😭
Umejulia wapi? Au unafikiri wanaojiita makanisa kama akina mwamposa ndio lilivyo kanisa?Nijuavyo mimi, Paroko ndiye mdhamini wa mali zote za Parokia. Hata akitaka kutumia hovyo mamlaka aliyopewa kwa kuaminiwa, anaweza kufanya bila shida yoyote. Sijajua hilo limekaaje
paroko kajiongeza!!! kaona baada ya papa kuanza kubariki washoga,kwamba kanisa linaelekea mwisho wake!!!!so maokoto yatapunguando akaamua bora achukue chake mapema!!!!!Paroko wa Kanisa Katoliki Parokia ya Bunda mkoani Mara, Karoli Mganga anatuhumiwa kughushi nyaraka na kujipatia zaidi ya Sh800 milioni kinyume cha sheria.
Paroko huyo anatuhumiwa kuhusika kwenye tukio hilo pamoja na mhasibu wa parokia hiyo, Gerald Mgendagenda.
Akizungumza na waandishi wa habari jana, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mara, Salim Morcase alisema kutokana na tuhuma hizo, jeshi hilo liliwakamata watuhumiwa wote wa wawili na kufanya uchunguzi kwa ajili ya hatua nyingine zaidi.
Alisema tayari jeshi hilo limekamilisha uchunguzi na jalada limepelekwa Ofisi ya Mashtaka kwa ajili ya hatua zaidi.
Kamanda alisema paroko huyo na mhasibu wake wanadaiwa kugushi nyaraka kwa nyakati tofauti na kujiapatia kiasi hicho cha fedha, mali ya parokia hiyo, kinyume cha sheria na taratibu.
Alisema mbali na kughushi nyaraka, watuhumiwa hao pia wanadaiwa kughushi sahihi za watu mbalimbali, hali iliyowawezesha kufanikisha malengo yao na kujipatia kiasi hicho cha fedha.
“Sisi tumekamilisha upelelezi wetu tangu wiki iliyopita na jalada tumelipeleka kwa mwendesha mashtaka wa Serikali, hivyo tunasubiri hati ya mashtaka kwa ajili ya watuhumiwa kufikishwa mahakamani kwa mujibu wa sheria," alisema.
Alisema watuhumiwa hao wako nje kwa dhamana wakisubiri kukamilika kwa mchakato wa ofisi ya mwendesha mashtaka wa Serikali.
Credit - Mwananchi
Wewe mlokole unataka kudivert mada? haya nenda kaongeza sadaka yako ili wajanja wakazipige,yani unasifia wizi? kwani lengo la dini ni kulinganisha Nyumba zake za ibada kuona ipi ina hela nyingi na ipi haina hela nyingi?Eeh makanisa yanahela bwana, msikitini utakuta elf 20 ya umeme watu wanakabana koo
Samahani kwa nitakachokisema Ila wakisema wawapige pin maparoko wote nchi nzima nasema kuna maparoko wengi wataishia nyuma ya nondo, itoshe tu kusema hivyo Ila tu basi watu wengine wana Ile tabia ya kusema 'namwachia Mungu' sema maparoko parokiani wanapiga sana kwenye mshonoAlisema watuhumiwa hao wako nje kwa dhamana wakisubiri kukamilika kwa mchakato wa ofisi ya mwendesha mashtaka wa Serikali.
Let her soul RIPAlikula hela au alikua na ukimwi!?..Ila haiwezi kuwa ukimwi maana arv zipo
Kwahiyo hapa unasifia dhambi zinazofanywa na viongozi hao wa dini au unalaumu?Ukichukua mtu kasoma seminary muda mrefu huyo ni jasusi hata TISS hawaoni ndani. Padre mmoja aliwahi kuleta demu wake kanisani akidai ni binamu yake, akawa anaishi nae parokiani bila watu kugundua. Ukiona anavyomkaripia huwezi dhania.
Padre anaweza akawa na mtoto, mtoto akatumia jina la ukoo wa mama. Mtoto akasoma shule ambayo padre anasimamia na mtu yeyote asijue. Hata wake wanaozaa nao huwa hawakurupuki na watoto wao hawawi vilaza kuropoka.
SASA NANI KASHTAKI ? PAROKIA AU JIMBO?Paroko wa Kanisa Katoliki Parokia ya Bunda mkoani Mara, Karoli Mganga anatuhumiwa kughushi nyaraka na kujipatia zaidi ya Sh800 milioni kinyume cha sheria.
Paroko huyo anatuhumiwa kuhusika kwenye tukio hilo pamoja na mhasibu wa parokia hiyo, Gerald Mgendagenda.
Akizungumza na waandishi wa habari jana, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mara, Salim Morcase alisema kutokana na tuhuma hizo, jeshi hilo liliwakamata watuhumiwa wote wa wawili na kufanya uchunguzi kwa ajili ya hatua nyingine zaidi.
Alisema tayari jeshi hilo limekamilisha uchunguzi na jalada limepelekwa Ofisi ya Mashtaka kwa ajili ya hatua zaidi.
Kamanda alisema paroko huyo na mhasibu wake wanadaiwa kugushi nyaraka kwa nyakati tofauti na kujiapatia kiasi hicho cha fedha, mali ya parokia hiyo, kinyume cha sheria na taratibu.
Alisema mbali na kughushi nyaraka, watuhumiwa hao pia wanadaiwa kughushi sahihi za watu mbalimbali, hali iliyowawezesha kufanikisha malengo yao na kujipatia kiasi hicho cha fedha.
“Sisi tumekamilisha upelelezi wetu tangu wiki iliyopita na jalada tumelipeleka kwa mwendesha mashtaka wa Serikali, hivyo tunasubiri hati ya mashtaka kwa ajili ya watuhumiwa kufikishwa mahakamani kwa mujibu wa sheria," alisema.
Alisema watuhumiwa hao wako nje kwa dhamana wakisubiri kukamilika kwa mchakato wa ofisi ya mwendesha mashtaka wa Serikali.
Credit - Mwananchi
Hayo mambo hua yanazuka parokiani Ila mengi humalizwa chini kwa chini kupitia usuluhishi wa kanisa hua hayafiki mahakamani ni nadra sana sio kwamba hayapo, hili nimeshangaa limefukaje huko mahakamani wakati hua wanayamaliza humo humo kanisani na paroko anahamishwa kwenda parokia nyingine hata km katafuna Billion, adhabu yake nahisi labda hua ni kushushwa Cheo tu na kua padre wa kawaida lakini kesi nyingi za hivi hazipelekwi mahakamani zinamalizwa kanisani huko huko kuepuka kulichafua kanisa kwamba linaongozwa na maparoko matapeliKulikoni parokia kumshtaki kiongozi wao, au wana chuki naye? Huo ni utovu wa nidhamu kumnyoshea kidole mtumishi wa mungu, waangeacha ajili tani yake
Cc: FaizaFoxyEeh makanisa yanahela bwana, msikitini utakuta elf 20 ya umeme watu wanakabana koo
Tukisema DINI BIASHARA "JMK" mnatung'akia!Paroko wa Kanisa Katoliki Parokia ya Bunda mkoani Mara, Karoli Mganga anatuhumiwa kughushi nyaraka na kujipatia zaidi ya Sh800 milioni kinyume cha sheria.
Paroko huyo anatuhumiwa kuhusika kwenye tukio hilo pamoja na mhasibu wa parokia hiyo, Gerald Mgendagenda.
Akizungumza na waandishi wa habari jana, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mara, Salim Morcase alisema kutokana na tuhuma hizo, jeshi hilo liliwakamata watuhumiwa wote wa wawili na kufanya uchunguzi kwa ajili ya hatua nyingine zaidi.
Alisema tayari jeshi hilo limekamilisha uchunguzi na jalada limepelekwa Ofisi ya Mashtaka kwa ajili ya hatua zaidi.
Kamanda alisema paroko huyo na mhasibu wake wanadaiwa kugushi nyaraka kwa nyakati tofauti na kujiapatia kiasi hicho cha fedha, mali ya parokia hiyo, kinyume cha sheria na taratibu.
Alisema mbali na kughushi nyaraka, watuhumiwa hao pia wanadaiwa kughushi sahihi za watu mbalimbali, hali iliyowawezesha kufanikisha malengo yao na kujipatia kiasi hicho cha fedha.
“Sisi tumekamilisha upelelezi wetu tangu wiki iliyopita na jalada tumelipeleka kwa mwendesha mashtaka wa Serikali, hivyo tunasubiri hati ya mashtaka kwa ajili ya watuhumiwa kufikishwa mahakamani kwa mujibu wa sheria," alisema.
Alisema watuhumiwa hao wako nje kwa dhamana wakisubiri kukamilika kwa mchakato wa ofisi ya mwendesha mashtaka wa Serikali.
Credit - Mwananchi
Acha uchonganishi