Bunda: Paroko Karoli Mganga mbaroni akidaiwa kughushi na kujipatia Tsh. Milioni 800

Kulikoni parokia kumshtaki kiongozi wao, au wana chuki naye? Huo ni utovu wa nidhamu kumnyoshea kidole mtumishi wa mungu, waangeacha ajili tani yake
 
Sifa za kijinga hizi,padre gani ni jasusi kuliko tiss!?..mapadre kibao Wana watoto na tunajua,wengine walikunywa sumu baada ya kujua wameukwaa ukimwi na kueneza convent kwa masista..acha ukilaza,watakulawiti hao ukiwatukuza sana
Chuki yako kwa wakatoliki haimithiriki!
 
They are called church Mafias, miaka ya nyuma, walimuua Papa John.
 
Sifa za kijinga hizi,padre gani ni jasusi kuliko tiss!?..mapadre kibao Wana watoto na tunajua,wengine walikunywa sumu baada ya kujua wameukwaa ukimwi na kueneza convent kwa masista..acha ukilaza,watakulawiti hao ukiwatukuza sana
Waliwahi kukulawiti naona unakuja kufura. Pole kwa puru yako kuharibiwa😭
 
Nijuavyo mimi, Paroko ndiye mdhamini wa mali zote za Parokia. Hata akitaka kutumia hovyo mamlaka aliyopewa kwa kuaminiwa, anaweza kufanya bila shida yoyote. Sijajua hilo limekaaje
Umejulia wapi? Au unafikiri wanaojiita makanisa kama akina mwamposa ndio lilivyo kanisa?

Kwanza huyo mbuzi aliyeandika kichwa Cha habari kuwa paroko hajui lolote kuhusu kanisa Takatifu. Huyo kenge aliyeandika gazetinla nipashe hata makosa ya jinai hayafahamu . PADRE HANA MAMLAKA YOYOTE NA FEDHA WALA MALI ZA KANISA. YEYE NI MWAJIRIWA ANAYELIPWA POSHO AMA MSHAHARA KUTOKANA NA MKATABA WA SHIRIKA KALE. KAMA AMEFANYA UBADILIFU ANASHUGHULIKIWA KAMA MTU MWINGINE. HAYA SIO MAKANISA YA WATU BINAFSI YA BABA NA MAMA MCHUNGAJI KAMA MAKANISA YA KI PROTESTANT
 
paroko kajiongeza!!! kaona baada ya papa kuanza kubariki washoga,kwamba kanisa linaelekea mwisho wake!!!!so maokoto yatapunguando akaamua bora achukue chake mapema!!!!!
 
Habari hizi zipelekwa kwa wahusika wengine haziwahusu zaidi ya kuleta malumbano na kashfa za hovyo...Zipo taasisi za kidini wapeleke kwa walengwa kuleta publich haina maana kabisa


Ushauri : Taasisi za kidini ziwe na sheria zao kwa wanaofanya makosa ili kulinda brand ,mtu akifanya kwa vile ni kiongozi wa dini fulani basi apewe hukumu kutokana na sheria za dini hiyo maana hapa kabeba dhamana ya dini hyo...Kuleta habari hzi public hazifai.
 
Eeh makanisa yanahela bwana, msikitini utakuta elf 20 ya umeme watu wanakabana koo
Wewe mlokole unataka kudivert mada? haya nenda kaongeza sadaka yako ili wajanja wakazipige,yani unasifia wizi? kwani lengo la dini ni kulinganisha Nyumba zake za ibada kuona ipi ina hela nyingi na ipi haina hela nyingi?
 
Alisema watuhumiwa hao wako nje kwa dhamana wakisubiri kukamilika kwa mchakato wa ofisi ya mwendesha mashtaka wa Serikali.
Samahani kwa nitakachokisema Ila wakisema wawapige pin maparoko wote nchi nzima nasema kuna maparoko wengi wataishia nyuma ya nondo, itoshe tu kusema hivyo Ila tu basi watu wengine wana Ile tabia ya kusema 'namwachia Mungu' sema maparoko parokiani wanapiga sana kwenye mshono

Kuna parokia moja yalizuka km haya Pesa za ujenzi hazieleweki zinapokwenda huku na huku ikagundulika ni paroko asee baba Askofu wa Jimbo ilibidi aingilie kati yule paroko akahamishwa

Mtanisamehe maparoko nimebidi niseme
 
Kwahiyo hapa unasifia dhambi zinazofanywa na viongozi hao wa dini au unalaumu?

Tuseme wanawaficha binadamu wenzao na je wanamficha Mungu pia?
 
SASA NANI KASHTAKI ? PAROKIA AU JIMBO?
 
Kulikoni parokia kumshtaki kiongozi wao, au wana chuki naye? Huo ni utovu wa nidhamu kumnyoshea kidole mtumishi wa mungu, waangeacha ajili tani yake
Hayo mambo hua yanazuka parokiani Ila mengi humalizwa chini kwa chini kupitia usuluhishi wa kanisa hua hayafiki mahakamani ni nadra sana sio kwamba hayapo, hili nimeshangaa limefukaje huko mahakamani wakati hua wanayamaliza humo humo kanisani na paroko anahamishwa kwenda parokia nyingine hata km katafuna Billion, adhabu yake nahisi labda hua ni kushushwa Cheo tu na kua padre wa kawaida lakini kesi nyingi za hivi hazipelekwi mahakamani zinamalizwa kanisani huko huko kuepuka kulichafua kanisa kwamba linaongozwa na maparoko matapeli
 
Tukisema DINI BIASHARA "JMK" mnatung'akia!
Pesa sabuninya roho bana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…