Bundi atua CHADEMA, Lema ni Mfunufaika mkubwa wa Michango!

Troll JF

Platinum Member
Joined
Feb 6, 2015
Posts
10,592
Reaction score
15,404
IMG_2787.jpeg

Tazama video hii
 
Godbless Lema ndie alie ibua ufisadi wa heche kwenye kikao cha kamati kuu ya chadema taifa pale kigoma. Heche amechagua wrong solder wa kutetea ufisadi wake. Bidada ana shoot off targets kabisa:pedroP:

namuonea huruma kamanda huyu kwa kutumika vibaya na heche,
kwasababu Lema atamfunua vibaya mno dada huyu kabla ya kufunua ufisadi zaid wa heche ndani ya chadema:NoGodNo:
 
Mm nilijua kala KODI za tra. Kumbe mchango wng mm n familia yangu pamoja na ukoo wangu wooote.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Yaani katikati ya maelezo mtu anamtaja "Bananga". Sasa hii kwanza ni ya zamani.

Hebu lete inayohusiana na Tone Tone
 
Godbless Lema ndie alie ibua ufisadi wa heche kwenye kikao cha kamati kuu ya chadema taifa pale kigoma. Heche amechagua wrong solder wa kutetea ufisadi wake. Bidada ana shoot off targets kabisa:pedroP:

namuonea huruma kamanda huyu kwa kutumika vibaya na heche,
kwasababu Lema atamfunua vibaya mno dada huyu kabla ya kufunua ufisadi zaid wa heche ndani ya chadema:NoGodNo:
Ndondocha
 
Uyu je ajanunuliwa !!🖕

Au wanaonunuliwa ni wenye kumpinga Makam Mwenyekiti tu Heche 👈

Je upande mwingine wanatumia mfumo gani kujitetea 👈

mbona kama wanafanana matendo yao!!!

Swali je
Na uyu Dada hatachukuliwa atua kwa kutwangwa barua ya kujieleza ndani ya siku 14 kwa kuongea kwenye media badala ya vikao
usika !???!

Lema na Heche nani mwenye pesa zaidi za michango kuweza kununua wengine kuongea kama ivi au
vile ???
 
Muda, pesa, na akili tunayotumia kuhangaika na siasa kila siku tungekuwa mbali sana, aiseee.

Sioni kipya, kila siku CCM, Chadema, Chauma na matakataka ya aina hiyo.

Sisikii, sioni, mkakati, wowote kujikita, kwenye, elimu, kilimo, uchumi, ugunduzi, technology, rasilimali, nk.
 
Back
Top Bottom