Bundi atua CHADEMA, Lema ni Mfunufaika mkubwa wa Michango!

Bundi atua CHADEMA, Lema ni Mfunufaika mkubwa wa Michango!

Lema ni nabii wanachadema tunamheshimu sana unabii wa lema haujawahi kukosea, heche apishe kiti haraka sana uchunguzi huru ndani ya chama ufanyike!!
 
Kumbe
Agenda ya kufunika wizi mkubwa kwenye sketa ya mafuta.. Watanzania msikubali.

Tunataka kujua kwanini Vitol ametuuzia mafuta kwa usd 260 sawa sh 689,000.

Wakati huo huo anawauzia Uganda mafuta hayo hayo kwa USD 83 sawa na sh 212,000

Msumbiji usd 90 sawa na 238,500.

Hawa watu wanaoitwa NAMARO na TPDC wamehusikaje kwenye huu ufisadi wa kufilisi Nchi.

Huu ni uhujumu uchumi mkubwa kuwahi kutokea katika Nchi hii.

Kuna zaidi ya 1.2 trilioni imeibiwa katika mafuta.

Katibu mkuu wa Nishati bwana Mataragio alisema tuna mafuta ya kutumia miezi mitatu.

Watanzania tusikubali huu wizi.

View attachment 3631993Kumbe ni Mtendaji Mkuu wa TPDC ni Mzanzibar.Sasa naamini hilo dili ya mafuta imepigwa.​
 
Back
Top Bottom