Bundi atua Msimbazi, msemaji wa Simba ndugu Ezekiel Kamwaga abwaga manyanga

Umerizika mwenyewe nyie ndiyo wale mnaoweza mkapata mshahara wa mwezi mmoja na ukaacha kazi ni shortsighted fellas

Sent using Jamii Forums mobile app
Hujui mpira mkuu, na hujui nilichoongea. Wanaelewa watu wa mpira wanaoujua mpira.

Mimi nawaza kuajiri watu.[emoji16][emoji16] mpumbavu km ww anawaza kuwa mtumwa wa mshahara. Kijana mdogo unawaza kuajiriwa ulipwe mshahara ktk dunia hii ya fursa.

(Watu wakifanikiwa mnaanza Mara oooh msukule, Freemason. Nenda huko na ww km kuna hela za bure ziko mahali)

Kumbafu!
 
[emoji867]Ficha ujinga wako, huna wazo la kibiashara litakalo kuletea utajiri wewe kwa kuwaza upupu hivi uko kingese sana kimitazamo, unaandikiwa mistari miwili wewe unajibu kurusa tatu ona ulivyo dada kiparura

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hujui mpira mkuu, na hujui nilichoongea. Wanaelewa watu wa mpira wanaoujua mpira.

Mimi nawaza kuajiri watu.[emoji16][emoji16] mpumbavu km ww anawaza kuwa mtumwa wa mshahara. Kijana mdogo unawaza kuajiriwa ulipwe mshahara ktk dunia hii ya fursa.

(Watu wakifanikiwa mnaanza Mara oooh msukule, Freemason. Nenda huko na ww km kuna hela za bure ziko mahali)

Kumbafu!
[emoji867]Chukua hiyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We kashabikie kariobangi huko kenya mambo ya tz huyajui. Huyo Eze alikaimu kwa muda wa miezi 2 tu. Na amesema haongezi muda maana anaenda UK masomoni.. LUC EMELY alisemaga mashabiki wa .... ni......[emoji41][emoji41]
😀😀😀😀
 
Katika kile kinachoelezwa hali si shwari ndani ya Club ya Simba,inaelezwa Msemaji wa timu hiyo ndugu Ezekiel Kamwaga ameamua kukaa pembeni kuendelea na majukumu yake ndani ya club hiyo. Tukio hili linatokea Ikiwa haijapita hata wiki moja tangu kujiuzulu nafasi ya Mwenyeketi wa Bodi wa timu hiyo MO Dewji. Sababu za kamwaga kubwanga manyanga bado hazijawekwa wazi ila za ndani zinasema kuwa amechoshwa kupelekeshwa na mtendaji mkuu wa timu hiyo. Alipoulizwa Mwenyekiti wa Simba ndugu Mangungu kuhusiana na taarifa hizi amesema watalitoea tamko hapo baadae.
Bundi tena wkt walisema ni msemaji wa muda wa miezi miwili tu

Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
 
Usiwanyime watu furaha kaka,we fikiria mtoto kaanza form one hadi anamaliza form four simba ni bingwa , acha watu wawe na msongo wa mawazo ,we mkubalie tu kwamba kuna bundi katua na bado yuko juu y abati
 
Hizi sio enzi za Jiwe na Bashite wake, mpaka mkafikia hatua ya kukufuru eti mtachukua ubingwa mpaka Kayafa atakapoondoka madarakani. Na Mungu wa ukweli kasikia sala yenu akamuondoa Kayafa,sasa mnaanza kulialia huku mkisahau ni nyinyi wenyewe ndio mlioweka hayo maagano.
Kunywa maji kwanza maana una maumivu sana moyoni mwako
 
Yani Hii Nyani kumbe haujui kuwa Eze Kamwanga alikuwa na Mkataba wa Miezi Miwili tu ndiyomana ikakurupuka kuandika Uzi? Hama kwa Shemeji upate akili 😂😂😂
 
Katika kile kinachoelezwa hali si shwari ndani ya Club ya Simba,inaelezwa Msemaji wa timu hiyo ndugu Ezekiel Kamwaga ameamua kukaa pembeni kuendelea na majukumu yake ndani ya club hiyo. Tukio hili linatokea Ikiwa haijapita hata wiki moja tangu kujiuzulu nafasi ya Mwenyeketi wa Bodi wa timu hiyo MO Dewji. Sababu za kamwaga kubwanga manyanga bado hazijawekwa wazi ila za ndani zinasema kuwa amechoshwa kupelekeshwa na mtendaji mkuu wa timu hiyo. Alipoulizwa Mwenyekiti wa Simba ndugu Mangungu kuhusiana na taarifa hizi amesema watalitoea tamko hapo baadae.
Habari za saubuhi Hajj Manara! Nasikia mkeo kakumbia eti "bunduki haitemi risasi"!!!!!
 
Katika kile kinachoelezwa hali si shwari ndani ya Club ya Simba, inaelezwa Msemaji wa timu hiyo ndugu Ezekiel Kamwaga ameamua kukaa pembeni kuendelea na majukumu yake ndani ya club hiyo.

Tukio hili linatokea Ikiwa haijapita hata wiki moja tangu kujiuzulu nafasi ya Mwenyeketi wa Bodi wa timu hiyo MO Dewji. Sababu za kamwaga kubwanga manyanga bado hazijawekwa wazi ila za ndani zinasema kuwa amechoshwa kupelekeshwa na mtendaji mkuu wa timu hiyo.

Alipoulizwa Mwenyekiti wa Simba ndugu Mangungu kuhusiana na taarifa hizi amesema watalitoea tamko hapo baadae.
Noma sana !
 
Back
Top Bottom