Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sidhani kama kuna mzigo kwa umma kwa jinsi walivyopendekeza.Hakuna mahali mtu anasema itolewe bure ila hizo fedha zinapatikanaje ili isiwe mzigo kwa raia wa kawaida?
Wewe Chawa wa Jiwe bado umo JF !Naendelea kushangaa juu ya kigugumizi cha wabunge juu ya muswada huu muhimu unahusu afya za watanzania. Hili ni jipu la muda mrefu sana lenye kuhitaji tiba.
Siku za nyuma Serikali imekuwa inakwepa kuwasilisha muswada huu bungeni. Hata hivyo vision ya Rais Samia ilikuwa ni kuwasilisha muswada huu bungeni ili kupata suluhisho la namna bora ya uwezeshaji endelevu wa kifedha katika sekta ya afya. Kukwama kwa uwasilishaji muswada huu ni hasara kwa Taifa kwani katika kipindi kisichopungua mwaka mmoja sekta ya Afya kupitia wizara na wadau wamewekeza sana katika kujadili na kuja na muswada huu.
Ikumbukwe kuwa Sekta ya afya imeendelea kupitia wakati mgumu kwa kushindwa kujiendesha ipasavyo. Ikumbukwe kuwa bado bajeti ya sekta ya afya haijafikia azimio la abuja linalotaka Serikali kuwekeza 15% ya kipato chake kwenye maswala ya afya ili kuwa na sekta imara ya afya itakayojibu matakwa ya malengo ya milenia na malengo endelevu.
Bado sekta ya afya nchini inabakia kuwa ni sekta ya hisani ya watu wa Marekani n.k.
Bunge limehairisha bila kutaja ni lini haswa muswada huu utawasilishwa tena. Bunge limerejesha suala hili kwenye kamati ambayo imelikwamisha despite ushauri wa wataalamu ...Hili sio sawa. Hatuwezi kuwa na subira zisizo kikomo kungojea suala hili miaka nenda miaka rudi, ni muhimu kufikia maamuzi.
Bunge lina wajibu sasa wa kutueleza wananchi, wataalamu, Serikali, wadau ni namna gani tunahakikisha kuwa health sector financing itafanyika katika kipindi kingine cha kusubiri.
Nimpongeze Waziri Ummy kwa ujasiri wa kuzingatia maelekezo ya Mhe.Rais wa JMT Samia Suluhu Hassan na kuandaa, kushirikisha na hatimaye kuwasilisha muswada huu hadi hatua iliyofikiwa.
Je Bunge kupitia kamati limekwamisha utekelezaji wa Ilani ya CCM Kifungu 83(e)????
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
Kweli ni chawa wa jiwe na hajajua kuwa Tanzania ni Moja ya nchi masikini na yenye Kodi kubwa afrikaWewe Chawa wa Jiwe bado umo JF !
Kwani sasa hivi wanatibiwa vipi?Bunge limemsaidia sana Mh. Rais kuchonganishwa na raia, acheni tamaa zenu na kusahau kuwa watanzania bado ni masikini wa kipato...Leo uwalazimishe watu badala ya kuwawezesha mnafikiri raia wanafurahia kutoa tozo? Bado hilo halijaisha mnataka muongeze tena ugomvi kwa raia kuwaamuru watoe pesa zakulipia bima?
Hilo jambo siyo la kukurupuka acha wataalamu waliweke vizuri ili kweli mtanzania afurahie anachopewa na serikali yake na siyo kulazimisha
madawa yanakosekana kwa kuwa hakuna sustainable and effective means of healthcare financing system.Bima ya afya kwa wote ilikuwa inaenda kujibuUnaviwanda vya kutengeneza madawa na vifaa Tiba ,watumishi TU Hawa laki 6 Kila wakienda kutibiwa madawa hakuna wananunua
Kwa hiyo hili bunge la chama kimoja cha CCM linatishwa na kutishika na kinaufyata! Bunge la ajabu sana kutokea duniani!Bunge lisiruhusiwe kuuzima muswada huu bila kuwa na alternative means of healthcare financing.
Haiwezekani kila inapokuja suala la afya majadiliano yakawa ni ukosefu wa dawa na ubovu wa huduma kwa muktadha wa makalamiko tu...wataalamu na waziri/Serikali imeleta suluhisho la changamoto kubwa ya sekta ya afya halafu inapeperushwa tu ...badala yake tunaongelea PHD za heshima na upuuzi mwingine.
Hapa ni lazima tuwabane wabunge vilivyo na tuwatake ku-account for...yaani watuoneshe tija ya fedha zilizotumika kuandaa muswada ikiwemo utoaji wa elimu kwa wadau wote juu ya suala hili.
we can not just accept eti muswada umehairishwa kujadiliwa tu..
Bunge limeridhia hili kwa maslahi ya nani?je timetishwa na mataifa yanayotugawia pedi na kondomu??
ni muhimu tukapaza sauti kuhusu kufikia muafaka wa kuwa au kutokuwa na bima ya afya kwa wote...kama bunge halitaki liseme na litoe mbadala na sio kutuacha njiapanda.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
Wewe kweli mjinga! Tulia anahusika vipi na kuandaa miswada ya serikali!Waziri Ummy ametimiza wajibu wake sasa naona Dr Tulia ana wajibu wa kutujibu kuhusu njia endelevu ya kuboresha sekta ya afya.Rais samia alishatua mzigo kwa kuelekeza kuwa muswada uende bungeni baada ya miaka mingi ya majadiliano...iweje bunge likatae kujadili??
Ndiyo matokeo ya utawala wa shetani Magufuli kwa kuteua wabunge vilaza!Iweje tuache kujadili muswada muhimu wa afya halafu tunaenda kuongelea picha za ngono??hivi bunge halitambui kuwa hata kuangalia picha za ngono ni matokeo ya afya mbovu ya akili??
acha kujitoa ufahamu au kama wewe sio mfuatiliaji wa hoja kaa kimya.Tulia anahusika kwa kuwa kamati yake imekula hela na ikakaa na kujadili na wataalamu wa Serikali na hatimaye ikapanga muswada huu uwasilishwe bungeni...hakuna anayeelewa kwa nini bunge chini ya Tulia ackson likatae kujadili....eti wadau hawajahusishwa...wakati katka kipindi cha miezi zaidi ya minne Serikali imewafikia wadau wote tena kwa uwazi mkubwa tu.Wewe kweli mjinga! Tulia anahusika vipi na kuandaa miswada ya serikali!
Shithole!
Sasa wewe na Tulia si mlikuwa mahawara wa shetani Magufuli kwa nini usitafute suluhu ya tofauti zenu!acha kujitoa ufahamu au kama wewe sio mfuatiliaji wa hoja kaa kimya.Tulia anahusika kwa kuwa kamati yake imekula hela na ikakaa na kujadili na wataalamu wa Serikali na hatimaye ikapanga muswada huu uwasilishwe bungeni...hakuna anayeelewa kwa nini bunge chini ya Tulia ackson likatae kujadili....eti wadau hawajahusishwa...wakati katka kipindi cha miezi zaidi ya minne Serikali imewafikia wadau wote tena kwa uwazi mkubwa tu.
Ni kawaida kwa serikali ya kifisadi iliyoasisiwa na shetani Magufuli! Unashangaa nini wee mjane!Ipo miswada inayojadiliwa kwa hati za dharura unecessarly...inashangaza kuona muswada huu ambao Serikali iliwekeza katika kuujadili na kushirikisha wadau wote uchukuliwe poa tu halafu unaachwa tu...this is so absurd.
Changudoa kama wewe unajua nini zaidi ya kupakuliwa kinyesi!Usinipeleke huko ...jadili mada