Bunge halijatenda haki kutowasilisha muswada wa Bima ya Afya kwa wote

Kama hakukurupuka kwa nini kamati ya bunge imezuia kwa muda usiojulikana?
hakukurupuka kwani tumeiona elimu kwa umma ikifanyika na wataalamu wa sekta ya afya
 
Hakuna mahali mtu anasema itolewe bure ila hizo fedha zinapatikanaje ili isiwe mzigo kwa raia wa kawaida?
Sidhani kama kuna mzigo kwa umma kwa jinsi walivyopendekeza.
Sijaelewa kwa nini bunge limeondoa muswada huu kujadiliwa ili tupate muafaka...kama ni ndio iekeweke na kama ni hapana iekeweke.
Bunge limefanya najisi kwa kukataa kuujadili
 
Wewe Chawa wa Jiwe bado umo JF !
 
Unaviwanda vya kutengeneza madawa na vifaa Tiba ,watumishi TU Hawa laki 6 Kila wakienda kutibiwa madawa hakuna wananunua
 
Kwani sasa hivi wanatibiwa vipi?
 
Unaviwanda vya kutengeneza madawa na vifaa Tiba ,watumishi TU Hawa laki 6 Kila wakienda kutibiwa madawa hakuna wananunua
madawa yanakosekana kwa kuwa hakuna sustainable and effective means of healthcare financing system.Bima ya afya kwa wote ilikuwa inaenda kujibu
 
Bunge lisiruhusiwe kuuzima muswada huu bila kuwa na alternative means of healthcare financing.
Haiwezekani kila inapokuja suala la afya majadiliano yakawa ni ukosefu wa dawa na ubovu wa huduma kwa muktadha wa makalamiko tu...wataalamu na waziri/Serikali imeleta suluhisho la changamoto kubwa ya sekta ya afya halafu inapeperushwa tu ...badala yake tunaongelea PHD za heshima na upuuzi mwingine.
Hapa ni lazima tuwabane wabunge vilivyo na tuwatake ku-account for...yaani watuoneshe tija ya fedha zilizotumika kuandaa muswada ikiwemo utoaji wa elimu kwa wadau wote juu ya suala hili.
we can not just accept eti muswada umehairishwa kujadiliwa tu..
Bunge limeridhia hili kwa maslahi ya nani?je timetishwa na mataifa yanayotugawia pedi na kondomu??
ni muhimu tukapaza sauti kuhusu kufikia muafaka wa kuwa au kutokuwa na bima ya afya kwa wote...kama bunge halitaki liseme na litoe mbadala na sio kutuacha njiapanda.


KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
 
Waziri Ummy ametimiza wajibu wake sasa naona Dr Tulia ana wajibu wa kutujibu kuhusu njia endelevu ya kuboresha sekta ya afya.Rais samia alishatua mzigo kwa kuelekeza kuwa muswada uende bungeni baada ya miaka mingi ya majadiliano...iweje bunge likatae kujadili??
 
Kwa hiyo hili bunge la chama kimoja cha CCM linatishwa na kutishika na kinaufyata! Bunge la ajabu sana kutokea duniani!
 
Wewe kweli mjinga! Tulia anahusika vipi na kuandaa miswada ya serikali!

Shithole!
 
Iweje tuache kujadili muswada muhimu wa afya halafu tunaenda kuongelea picha za ngono??hivi bunge halitambui kuwa hata kuangalia picha za ngono ni matokeo ya afya mbovu ya akili??
 
Iweje tuache kujadili muswada muhimu wa afya halafu tunaenda kuongelea picha za ngono??hivi bunge halitambui kuwa hata kuangalia picha za ngono ni matokeo ya afya mbovu ya akili??
Ndiyo matokeo ya utawala wa shetani Magufuli kwa kuteua wabunge vilaza!
 
Wewe kweli mjinga! Tulia anahusika vipi na kuandaa miswada ya serikali!

Shithole!
acha kujitoa ufahamu au kama wewe sio mfuatiliaji wa hoja kaa kimya.Tulia anahusika kwa kuwa kamati yake imekula hela na ikakaa na kujadili na wataalamu wa Serikali na hatimaye ikapanga muswada huu uwasilishwe bungeni...hakuna anayeelewa kwa nini bunge chini ya Tulia ackson likatae kujadili....eti wadau hawajahusishwa...wakati katka kipindi cha miezi zaidi ya minne Serikali imewafikia wadau wote tena kwa uwazi mkubwa tu.
 
Sasa wewe na Tulia si mlikuwa mahawara wa shetani Magufuli kwa nini usitafute suluhu ya tofauti zenu!
 
Ipo miswada inayojadiliwa kwa hati za dharura unecessarly...inashangaza kuona muswada huu ambao Serikali iliwekeza katika kuujadili na kushirikisha wadau wote uchukuliwe poa tu halafu unaachwa tu...this is so absurd.
 
Ipo miswada inayojadiliwa kwa hati za dharura unecessarly...inashangaza kuona muswada huu ambao Serikali iliwekeza katika kuujadili na kushirikisha wadau wote uchukuliwe poa tu halafu unaachwa tu...this is so absurd.
Ni kawaida kwa serikali ya kifisadi iliyoasisiwa na shetani Magufuli! Unashangaa nini wee mjane!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…