Bunge halina mamlaka kumhoji Askofu Gwajima alichoongea na waumini wake

Watu 10,000 Wanafwatilia Mahubiri Ya Gwajima Live Youtube! Inaonekana Hii Nchi Vifurushi Ni Bei Rahisi Sana, Hivyo Sisi Wananchi Tunaiomba Serikali Ya CCM Iongeze Tozo Kwenye Vifurushi, Au Nasema Uongo Ndugu Zangu?
 
Alijua yule mtu wao wa Chato atakuwa rais milele
 
Bunge lina mamlaka na wajibu wa kumuhoji yeyote
 
Safi sana. Hata mm nimeshampinga Gwajima kwa kwenda kuchanjwa.
 
Kahojiwa CAG prof Asaad huyo Gwajifix yeye ni nani, Yustino hata akitaka amuite mama atamwita tuu akahojiwe , yule mwamba bana , na hivi hana cha kupoteza kutokana na afya yake hatari sana
 
Enzi zile anadili na Makonda ulikuwa muumini wake
 
Wapi nimeandika ni lazima watu wachanjwe?
 
Kwenye ishu ya kuchanjwa Gwajima hanakuja na simulation za kitoto sana.
Kama story za kusimuliwa kijiweni.na kuwapotosha waumini wake kwa maana Asilimia kubwa ya waumini wa gwajima ni la layma

Kwenye ishu ya kuchanjwa Gwajima hanakuja na simulation za kitoto sana.
Kama story za kusimuliwa kijiweni.na kuwapotosha waumini wake kwa maana Asilimia kubwa ya waumini wa gwajima ni layman
Duh! Kwa jinsi ulivyo-andika Kiswahili chako, bora urudi darasa la kwanza kisha uje kumkosoa Gwajiboy!

Bro umeandika bagia!
 
Mkuu umetulisha matangopori...ebu taja mstari kwenye Biblia unaosema kua Makuhani wapinge sera na taratibu zote za Serikali...
Kumbuka ata wewe unaweza kuitwa mbele ya Kamati ya Bunge ata kama sio mbunge kueleza jambo lolote kama ukiitajika.
 
Vifungu vya katiba ambavyo upofu wako haukuviona ndivyo nimetumia.

Vifungu unavyodhani ni hoja yako vitaje wewe na siyo kuishia kuuliza, nani akujibie hoja yako.

Mkuu umetulisha matangopori...ebu taja mstari kwenye Biblia unaosema kua Makuhani wapinge sera na taratibu zote za Serikali...
Kumbuka ata wewe unaweza kuitwa mbele ya Kamati ya Bunge ata kama sio mbunge kueleza jambo lolote kama ukiitajika.
 
Mkuu nimeona umeweka ibara ya katiba ila vipi umezisoma Standing Order ambazo ndio Mh. Spika atasimama nazo?

Ni kweli katiba ipo juu ya sheria zote ila hapa ulitakiwa upitie Kanuni za Binge/Standing Order ni muhimu sana hapa na ni za lazima kabisa.

Ila pia njia uliyoipendekeza bunge liifanye kumshughulikia Gwajima ni ya ajabu yaani Spika ambaye ni kiongozi wa Mhimili wa Dola akampinge Mbunge kanisani?, Kwani hana ofisi wakati yeye ni ofisi [emoji23][emoji23] Mkuu fikiria upya ili pendekezo lako litazusha vurugu/taharuki kubwa
 
Tena kuna sentence Of very interesting;

Mbona makanisa yamekuwa yakifundisha waumini wake kuwa pombe na sugara ni mbaya ni dhambi waache wakati huo huo serikali ndiko wanakoongoza kwa kukusanya kodi nyingi za mapato ?

Kwanini kwenye korona inaonekana kuwa nongwa?
 
Huwezi kusema Rais achinjwe ukiwa kanisani hafalu usihojiwe. Wacha uongo, kama hujui kaa kimya.
 
Yule mdada alotestiwa mitambo na Gwaji Boy atakuwa ni mkeo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…