Abul Aaliyah77
JF-Expert Member
- Mar 9, 2019
- 591
- 392
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpaka sasa sijaamini au kukubali kuwa No. 1 anapambana na rushwa au Ufisadi.Aisee mambo yamepamba moto.
Ni hivi, vitisho mfulululizo vimekuwa vingi lakini mpaka sasa havijafua dafu. Heko CAG Prof. Assad kasimamia taaluma na kiapo cha katiba na msahafu.
Vyanzo vya kuaminika kabisa vinasema Rais ameshauriwa aipeleke ripoti bungeni ndani ya muda maana wamesema asipofanya hivo CAG Prof. Assad mwenyewe ataipeleka na hapo watu wataamini azimio ni lake.
Kibaya ni kwamba bwana mkubwa sasa kaagiza ripoti irekebishwe na kuondolewa kasoro kubwa zote alizobaini CAG ndo apeleke bungeni ripoti iliyohaririwa.
Kazi ya kuhariri inaendelea kwa kasi huko.
Ununuzi wa ndege, ujenzi wa Dodoma, utaratibu wa tender, matumizi nje ya bajeti na matibabu ya viongozi nje ya nchi ni pasua moyo.
Tuendelee kusubiri.
Mwana JF kuwa wa kwanza kujua
CCM ni ukoo wa panya—babu mwizi, baba mwizi, watoto wezi, wajukuu wezi, vitukuu wezi, vilembwe wezi na vining’ina wezi! Ukoo huu wa panya walikuwa wanasafiri katika boti la muhogo, lakini kwa sababu ya uroho wao, walianza kulitafuna boti! Kilichofuata ni ukoo mzima wa kizazi cha panya kuzama na kuangamia.Ccm ni ukoo wa panya hamna msafi majizi yote yapo huko
Kwa kweli nimeshangaa pia,Sizani kama umeongea ukweli maana umeongea kisiasa report ya CAG ikiisha sainiwa haiwezi kubadilishwa sasa wanabadilisha wakina nani unamanisha CAG anachezea report yake ? Sio kweli
Audit report is a legal document no one has authority to temper with anything in that report.
Audit report is a legal document no one has authority to temper with anything in that report.
That is it legally, but how many times have we experienced how they tempered with the constitution !!?, the same thing could happen to the report.
They are fearless, lawless persons,they can do whatever they desire. Pinning the CAG by the parlliement is an example.
Jiwe nalo ni jiizi linajificha kwenye kichaka cha uzalendo fakeCcm ni ukoo wa panya hamna msafi majizi yote yapo huko
Kwani Tundu Antipas Lisu huko nje analipiwa na serikali matibabu yake?!Aisee mambo yamepamba moto.
Ni hivi, vitisho mfulululizo vimekuwa vingi lakini mpaka sasa havijafua dafu. Heko CAG Prof. Assad kasimamia taaluma na kiapo cha katiba na msahafu.
Vyanzo vya kuaminika kabisa vinasema Rais ameshauriwa aipeleke ripoti bungeni ndani ya muda maana wamesema asipofanya hivo CAG Prof. Assad mwenyewe ataipeleka na hapo watu wataamini azimio ni lake.
Kibaya ni kwamba bwana mkubwa sasa kaagiza ripoti irekebishwe na kuondolewa kasoro kubwa zote alizobaini CAG ndo apeleke bungeni ripoti iliyohaririwa.
Kazi ya kuhariri inaendelea kwa kasi huko.
Ununuzi wa ndege, ujenzi wa Dodoma, utaratibu wa tender, matumizi nje ya bajeti na matibabu ya viongozi nje ya nchi ni pasua moyo.
Tuendelee kusubiri.
Mwana JF kuwa wa kwanza kujua
Very true Mkuu. Oh! God I am so worried in what is going on in our beloved country.
Hapambani na rushwa. Anachota kupitia miradi hiyo hiyoMpaka sasa sijaamini au kukubali kuwa No. 1 anapambana na rushwa au Ufisadi.
Anachofanya kikubwa ni kusimamia utekelezaji wa miradi yake vizuri.
We have to keep on praying that
Almighty God may save our beloved Country from the diabolical clutches of lawlessness nature of these people.
Kimbelembele tuu! Ha ha ha ha umetisha mkuu sema mzee wa kupiga rungu nmeona kama hayupo vile yupo kwa Dr Slaa mambo ya uwekezaji anakwepa ili hata wakipokea aseme sio yeye kweli sinema iendelee tutalipa kiingilio ikiishaAisee mambo yamepamba moto.
Ni hivi, vitisho mfulululizo vimekuwa vingi lakini mpaka sasa havijafua dafu. Heko CAG Prof. Assad kasimamia taaluma na kiapo cha katiba na msahafu.
Vyanzo vya kuaminika kabisa vinasema Rais ameshauriwa aipeleke ripoti bungeni ndani ya muda maana wamesema asipofanya hivo CAG Prof. Assad mwenyewe ataipeleka na hapo watu wataamini azimio ni lake.
Kibaya ni kwamba bwana mkubwa sasa kaagiza ripoti irekebishwe na kuondolewa kasoro kubwa zote alizobaini CAG ndo apeleke bungeni ripoti iliyohaririwa.
Kazi ya kuhariri inaendelea kwa kasi huko.
Ununuzi wa ndege, ujenzi wa Dodoma, utaratibu wa tender, matumizi nje ya bajeti na matibabu ya viongozi nje ya nchi ni pasua moyo.
Tuendelee kusubiri.
Mwana JF kuwa wa kwanza kujua
Hakupitia utaratibu sahihi hivyo anajigharamia.Kwani Tundu Antipas Lisu huko nje analipiwa na serikali matibabu yake?!
Wanahesabu siku za bunge kukaa. Wapo wanarekebisha ripoti kwa kasi ya ajabuMkuu, kwani leo si ndio siku ya 7? muda wa kupeleka ripoti huyu jamaa si umeshapita?
Kwa tafsiri yao mpaka tar 10 naamini wanahesabu siku za kazi ingawa ukweli halisi wanaufaham wao tulienda shule lakini hatujui kuhesabu haya nayo ni maajabu ya duniaMkuu, kwani leo si ndio siku ya 7? muda wa kupeleka ripoti huyu jamaa si umeshapita?
Wanahesabu siku za bunge kukaa. Wapo wanarekebisha ripoti kwa kasi ya ajabu
Ndg yangu CAG anatishiwa maisha wewe unazungumza vitu vidogo kuhusu Ku edit report. Bado upo usingizini wewe. Simply wananyofoa wasivyovitaka. Yeye kagoma Ku edit chochoteSizani kama umeongea ukweli maana umeongea kisiasa report ya CAG ikiisha sainiwa haiwezi kubadilishwa sasa wanabadilisha wakina nani unamanisha CAG anachezea report yake ? Sio kweli