Tetesi: Bunge kutengua azimio lake kesho na Jumatano kupokea ripoti ya CAG(?)

Ndg yangu CAG anatishiwa maisha wewe unazungumza vitu vidogo kuhusu Ku edit report. Bado upo usingizini wewe. Simply wananyofoa wasivyovitaka. Yeye kagoma Ku edit chochote


The CAG is a God fearing person and he abides by the oath he took during the sworn in ceremony-- he held aloft Holy book, the Qur'an and implored for God's help in his endevouirs.
 
Kumbe ndo maana wabunge wa upinzani walihamia CCM ili kuunga mkono juhudi.

Ila, hata wakihariri hiyo ripoti, wapo wabunge wataulizia tu mambo fulani, ambayo yamefanyika ndani ya nchi kinyume cha utaratibu. Hauwez kuficha moto kweny kichaka.

Sasa, jaribu kujiuliza, endapo bunge lingekuwa na wabunge wa chama kimoja, je, hiyo ripoti hata ingeenda bungeni si ingekuwa inajadiliwa kwa mazuri tu.

Mfumo wa vyama vingi una faida nyingi kuliko hasara.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sahz wenzako wAnaedit report ya Assad kule feri[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]itasomwa tofauti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pro Asad nakuomba sana uwe makini kwa kila hatua na ukiona wame edit jitojeze hadharani kuusema ukweli, sisi wananchi tunakutegemea wewe kwa sasa.
 
Wakithubutu kufanya hivyo mambo yatakuwa mabaya kuliko tunavyofikiri, Asad ni mtu smart anajielewa hawezi kuyumbishwa na hawa panya.
 
Kwenda zako wewe mzushi na mfuasi wa li-lissu.
 
Waki edit si itatofautiana na ya CAG ? Nawaza tu
Hawawezi kuthubutu kihariri upya report ya CAG kwa sababu soft copy ya report original itasambazwa kwa kasi ya moto wa nyika na iatkuwa ni skando ya karne. Subiri uone!
 
Noma sana yani mchukia rushwa ndio anaongoza kula rushwa yeye na watu wake wa karibu,siku hizi hata akihutubia huwezi sikia anaongelea rushwa mana yeye ndio konki wa kutupiga kuliko awamu za jk na mkapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tannzania nchi mbaya sn ivi kuna mantiki gani ripot kwanza ikabidhiwe kw rais?? maana yk ni nn hasa, kwann isiende bungen direct??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…