Tetesi: Bunge kutengua azimio lake kesho na Jumatano kupokea ripoti ya CAG(?)

Hawawezi kuthubutu kihariri upya report ya CAG kwa sababu soft copy ya report original itasambazwa kwa kasi ya moto wa nyika na iatkuwa ni skando ya karne. Subiri uone!
Watapelekwa wale watu wa tiss nyumban kwa assad na kuondoka na kila kitu,ushahidi kutakuwa hamna,inzi wa kijani huwa hawashindwi ikibidi hata kumuuwa assad.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sizani kama umeongea ukweli maana umeongea kisiasa report ya CAG ikiisha sainiwa haiwezi kubadilishwa sasa wanabadilisha wakina nani unamanisha CAG anachezea report yake ? Sio kweli
CCM ni zaidi ya uijuavyo, ukiambiwa magufuli kichaa amini. Mimi nilikuwa siamini hadi alipoanza kununua madiwani na wabunge wa CHADEMA ndio nikajua hamnazo, hapo ndio urafiki wangu na magufuli ulikufa. Tulimtetea kweli magufuli humu jf ila tukawa tunaambulia aibu. Mwisho tukabadili id maisha yanaendelea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu habebeki. Bora kumuachia zigo lake.
Unaokoa milioni 100 eti za kupaka rangi ndege unaenda kurubuni Nassari ajiunge CCM na unatumia billion 1 kwa uchaguzi tena.
 
CAG kamkabidhi report Rais, Then Rais ndo awapatie Bunge.

Sasa bunge likigoma kupokea report linakua linamgomea nani??

Bunge linavunjwa na Rais kama katiba inavyosema na hapo ndipo Rais ataelekeza uchaguzi ufanyike upya(election) ndiyo vilio na nderemo kwani siyo rahisi hao wabunge kurudi bungeni, wananchi na CCM itapeleka bungeni vijana kama Mhe Makonda, Hapi, Bashe, bungeni!![emoji38][emoji38][emoji38] wait and see!
 

My friend this is what we call “day dreaming” CCM is there to stay! just like the Communist Party of China. The President Dr Magufuli has revived the party and it is now in safe hands as Dr is in fact Mwl Nyerere II. The opposition missed their golden chance of seizing power in 2015, believe me or not such opportunity will never come back in the near future, possibly after 40 years! Remember if Eddy and Chadema in collaboration with CUF had clinched the Presidency that would have been the end of The Republic of Tanzania and formation of Independent Zanzibar since Maalim wanted Zenj to have its own UN representative, it’s own 9 member representatives in the EAC.!!!! as per CUF constitution.
 
CAG kamkabidhi report Rais, Then Rais ndo awapatie Bunge.

Sasa bunge likigoma kupokea report linakua linamgomea nani??
Hakuna mtu atagoma kupokea ripoti jamani.. mnapata pressure ya bure tu...
 
Absolutely kutawala kwake sijui Kama hiii nchi haitaingia
machafuko

Mambo Yake Ni ya ajabu ajabu kwakweli Kisha analazimisha aonekane anapendeka ....
Kutuona watz milioni 50 Ni wapimbavu kupitiliza... Bill kujua WAPUMBAVU pekee Ni Wana lumumba aliowaajiri kubwabwaja humu mtanaoni
Huyu Pombe ni janga kwa Taifa tena ni laana katika taifa letu.
Na watu wa vijijini huko ambao wengi maisha yao Ni duni kwamba ikifika uchaguzi akipitisha ubwabwa mbichi maharagwe na kofia na kanga zenye sura ya mgombea[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Bora ya jk[emoji23][emoji23][emoji23] wanasahau shida zao kwa muda wanapiga kura.... Pamoja na goli la mkono.... Vinginevyo hakubaliki Wala nini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi siku saba zinaisha lini wakuu natamani kuona bunge linakula matapishi yake lema na mdee wanarudi kwa kifua mbele baada ya CAG kuonekana alikua sahihi
Tena kweli umefikiria mbali mkuu,kwa maana hiyo wataondolewa adhabu hao akina Lema??
 
Shame shame huwezi amini CCM wamekosa mwelelekeo kiasi hiki, kwa kumgomea CAG ni kwa manufaa ya nani? Kweli inaonyesha Bunge ni dhaifu kama inatoka kwenye mstari kiasi hiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…